FOMU za Kujiunga na Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) 2024/2025

Filed in Education by on 08/10/2024 0 Comments

FOMU za Kujiunga na Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) 2024/2025

FOMU za Kujiunga na Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) 2024/2025,  Joining Instructions 2024/2025 at Sokoine University of Agriculture (SUA).

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) ni Chuo Kikuu cha umma kilichopo Morogoro Tanzania.

Chuo kikuu hicho kipo kwenye miteremko ya milima ya Uluguru. SUA inafahamika zaidi kwa kutoa kozi na programu nyingi katika fani za Kilimo, Sayansi ya Mifugo, Misitu, Sayansi ya Wanyama, Usimamizi wa Wanyamapori, Usimamizi wa Utalii, Sayansi ya Mazingira, Sayansi ya Chakula, Maliasili, Lishe, Maendeleo Vijijini, tangu kuanzishwa kwake.

Hapa chini tumekuwekea fomu ya maelekezo ya jinsi ya Kujiunga na Chuo hicho.

BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD FOMU ZA KUJIUNGA NA CHUO KIKUU CHA SOKOINE CHA KILIMO (SUA) 2024/2025


JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

error: Content is protected !!