FOMU za Kujiunga na Chuo cha Biashara (CBE)

Filed in Education by on 14/10/2024 0 Comments

FOMU za Kujiunga na Chuo cha Biashara (CBE)FOMU za Kujiunga na Chuo cha Biashara (CBE)

Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) kilianzishwa mwaka 1965 kwa Sheria ya Bunge namba 31 ya mwaka 1965. Chuo kinaendesha shughuli zake chini ya Wizara ya Viwanda na Biashara.

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Chuo kina kampasi nne za Dar es salaam, Dodoma, Mwanza na Mbeya. Maono Kuwa Chuo kinachoongoza katika kubadilisha na kukuza uwezo wa elimu ya biashara Dhamira Kutoa elimu inayotokana na mahitaji na ujuzi, na kutoa huduma bora za umma kupitia utafiti na ushauri.

Hapa chini tumekuwekea Fomu ya Maelekezo ya Kujiunga na Chuo hicho.

BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD FOMU ZA MAELEKEZO YA KUJIUNGA NA CHUO CHA BIASHARA (CBE)

Websitewww.cbe.ac.tz 
     CBE Journalhttps://cbe.ac.tz/bej/index.php/bej/index 
     CBE Institutional repositoryhttp://dspace.cbe.ac.tz:8080/xmlui/ 

Contacts: Bibi Titi Mohamed Road, P. O. Box 1968, Dar es Salaam

Tel. No.: +255 22 2150177; Fax No.: 255 22 2150122; Email: rector@cbe.ac.tz; Website: www.cbe.ac.tz


JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.


Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

error: Content is protected !!