FIFA Yaifungia Yanga Kusajili

Filed in Michezo by on 12/11/2024 0 Comments

FIFA Yaifungia Yanga KusajiliFIFA Yaifungia Yanga Kusajili

Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) limeifungia klabu ya Yanga kusajili wachezaji wa nje kutokana na kutotii agizo la kumlipa aliyekuwa mchezaji wao Augustine Okrah raia wa Ghana.

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA
FIFA Yaifungia Yanga Kusajili

FIFA Yaifungia Yanga Kusajili

Pia FIFA imelitaka shirikisho la soka Tanzania (TFF) waifungie Yanga kutosajili wachezaji wa ndani mpaka pale watakapomlipa Okrah.FIFA Yaifungia Yanga Kusajili


JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.


Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

error: Content is protected !!