FEDHA Watakazopata Washindi wa CAF 2024/2025

Filed in Michezo by on 12/11/2024 0 Comments
FEDHA Watakazopata Washindi wa CAF 2024/2025FEDHA Watakazopata Washindi wa CAF 2024/2025

Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) limetangaza fedha ambazo atazibeba Bingwa wa Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF Champions League) na Kombe la Shirikisho Afrika (CAF Confederation Cup) msimu huu wa 2024/2025.

Aidha kwenye Michuano hiyo nchi ya Tanzania inawakilishwa na klabu nne kwenye ambazo ni Yanga SC na Azam FC kwenye Klabu Bingwa (CAF Champions League)

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Kwa upande wa Kombe la Shirikisho (CAF Confederation Cup) Ni Simba SC na Coastal Union.

Hapa chini tumekuwekea kiasi ambacho kitatolewa na CAF msimu wa 2024/2025.

Fedha watazopata washindi wa CAF Champions League 2024/2025.

  • Bingwa atapata Tsh.10, 844,000,000.
    Mshindi wa Pili atapata Tsh. 5,422,000,000.
  • Watakaofuzu Nusu Fainali watapata Tsh. 3,253,000,000.
  • Watakaofuzu Robo Fainali watapata Tsh. 2,439,000,000.
  • Timu itakayoshika Nafasi ya Tatu kwenye Kundi Tsh. 1,897,700,000.
  • Timu itakayoshika Nafasi ya Nne kwenye Kundi Tsh. 1,897,700,000.

Fedha watakazopata washindi wa CAF Confederation Cup 2024/2025.

  • Bingwa atapata Tsh. 5,422,000,000.
  • Mshindi wa Pili Tsh. 2,711,0000,000.
  • Watakaofuzu Nusu Fainali Tsh. 2,033,250,000.
  • Watakaofuzu Robo Fainali Tsh. 1,491,050,000.
  • Timu itakayoshika Nafasi ya Tatu kwenye Kundi Tsh. 1,084,400,000.
  • Timu itakayoshika Nafasi ya Nne kwenye Kundi Tsh. 1,084,400,000.

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.


Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

error: Content is protected !!