Dawa ya wezi wa Magari

Filed in Makala by on 09/12/2024

Dawa ya wezi wa MagariDawa ya wezi wa Magari

Hakuna jambo ambalo limekuwa likiwarudisha nyuma na hata kuwafilisi wafanyabiashara kama wizi, wafanyabiashara wengi wamekuwa wakilengwa sana wezi maana wao ndio wenye fedha kila wakati.

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Mimi ambaye ni mfanyabiashara wa kukodisha magari na kuuza, nimewahi sana kuumizwa na wezi hadi kuna wakati nilikaribia kujinyonga baada ya kupata hasara kubwa.

Hasara hiyo ni baada ya magari matatu yenye thamani ya  zaidi ya Tsh. Milioni 200 kuibiwa katika mazingira ya kutatanisha yakiwa washroom.

Tulijaribu kuangalia katika kamera za ulinzi (CCTV Camera) na kuona wezi wale wakiwa wamejifunga vitambaa vyeusi machoni, mtindo wa kininja hivyo tukashindwa kuwatambua.

Polisi walifikia eno la tukio na kuchukua maelezo pamoja na kufanya uchunguzi wao na kuondoka, huku wakitoa ahadi kuwa magari yangu yatapatikana.

Kila mara nilikuwa naenda kituo cha Polisi kuulizia iwapo yamepatikana lakini niliambia bado, jambo hilo lilikuwa linanivunja moyo kwani nilijua wezi hao watakuwa tayari wameshayauza hata kwa bei ndogo ili  wasije kukamatwa.

Ikumbukwe hii ilikuwa sio mara ya kwanza kuibiwa, huku nyuma nilishwahi kuibiwa pikipiki sita kwa wakati mmoja na Polisi  walifanikiwa kuzipata mbili tu kati ya hizo huku watuhumiwa wakitoroka.

Mdogo wangu ambaye anasoma Chuo Kikuu alikuja nyumbani na kuniambia ameona katika mtandao mtu ambaye anaweza kufanikisha kupatikana kwa mali zangu.

Nilimuuliza ni nani ndipo akaniambia ni Dr Bokko, alinipa na namba zake ambazo ni +255618536050.

Niliwasiliana naye mara moja na kumueleza shida yangu, Dr Bokko aliniambia baada ya siku tatu yale magari yangu yatapatikana, lakini kesho yake asubuhi nilipigiwa simu na Polisi na kuambiwa kuwa magari yangu yamepatiana kwa mfanyabiashara mwenzangu wa jirani.

Alipohojiwa alidai kuwa alitaka kunifilisi ili abakie pekee yake akiiuza magari katika mtaa ule, mimi nilichukua magari  yangu, huku Polisi wakiondokana naye kwaajili ya kumfikisha Mahakamani.


JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.


Tags:

Comments are closed.

error: Content is protected !!