Usaili

LIGI Kuu ya NBC ya 4 Kwa Ubora Afrika 2024

Filed in Usaili by on 24/01/2025 0 Comments
LIGI Kuu ya NBC ya 4 Kwa Ubora Afrika 2024

LIGI Kuu ya NBC ya 4 Kwa Ubora Afrika 2024 Ligi Kuu ya Tanzania imetajwa kuwa ya nne kwa ubora Afrika na ya 57 duniani kwa mwaka 2024 ikiipiku Ligi ya Afrika Kusini na Tunisia. Kwa mujibu wa Shirikisho la Kimataifa la Historia na Takwimu za Mpira wa Miguu (IFFHS) limeitangaza Ligi Kuu ya Tanzania […]

Continue Reading »

MABADILIKO ya Eneo la Kufanyia Usaili wa Mahojiano Mwalimu Daraja la IIIB na Daraja la IIIA Elimu ya Awali Mkoa wa Tabora

Filed in Usaili by on 23/01/2025 0 Comments
MABADILIKO ya Eneo la Kufanyia Usaili wa Mahojiano Mwalimu Daraja la IIIB na Daraja la IIIA Elimu ya Awali Mkoa wa Tabora

MABADILIKO ya Eneo la Kufanyia Usaili wa Mahojiano Mwalimu Daraja la IIIB na Daraja la IIIA Elimu ya Awali Mkoa wa Tabora MABADILIKO YA ENEO LA KUFANYIA USAILI WA MAHOJIANO MWALIMU DARAJA LA IIIB NA DARAJA LA IIIA ELIMU YA AWALI MKOA WA TABORA Waombaji kazi wote wa Kada ya Mwalimu Daraja IIIB (Kemia, Baiolojia, […]

Continue Reading »

MATOKEO ya Usaili Wa Kuandika Mwalimu Daraja la IIIB (KEMIA, Baiolojia,Tehama, Jiografia) na Mwalimu Daraja la IIIA Elimu ya Awali

Filed in Usaili by on 23/01/2025 0 Comments
MATOKEO ya Usaili Wa Kuandika Mwalimu Daraja la IIIB (KEMIA, Baiolojia,Tehama, Jiografia) na Mwalimu Daraja la IIIA Elimu ya Awali

MATOKEO ya Usaili Wa Kuandika Mwalimu Daraja la IIIB (KEMIA, Baiolojia,Tehama, Jiografia) na Mwalimu Daraja la IIIA Elimu ya Awali MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA MWALIMU DARAJA LA IIIB (KEMIA, BAIOLOJIA,TEHAMA, JIOGRAFIA) NA MWALIMU DARAJA LA IIIA ELIMU YA AWALI ULIOFANYIKA TAREHE 22/01/2025 Wasailiwa wote waliochaguliwa (SELECTED) wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili. Wasailiwa […]

Continue Reading »

MABADILIKO ya Eneo la Kufanyia Usaili wa Mahojiano Mwalimu Daraja la Iiia Mkoa wa Dodoma

Filed in Usaili by on 20/01/2025 0 Comments
MABADILIKO ya Eneo la Kufanyia Usaili wa Mahojiano Mwalimu Daraja la Iiia Mkoa wa Dodoma

MABADILIKO ya Eneo la Kufanyia Usaili wa Mahojiano Mwalimu Daraja la Iiia Mkoa wa Dodoma Waombaji kazi wote wa Kada ya MWALIMU DARAJA IIIA walioitwa kwenye usaili wa Mahojiano ya tarehe 21.01.2025 Mkoa wa Dodoma mnajulishwa kuwa kuna mabadiliko ya mahali pa kufanyia usaili wa Mahojiano. MABADILIKO YA ENEO LA USAILI- DODOMA

Continue Reading »

MABADILIKO ya Eneo la Kufanyia Usaili Mkoa wa Shinyanga

Filed in Usaili by on 20/01/2025 0 Comments
MABADILIKO ya Eneo la Kufanyia Usaili Mkoa wa Shinyanga

MABADILIKO ya Eneo la Kufanyia Usaili Mkoa wa Shinyanga Waombaji kazi wote wa Kada za ualimu walioitwa kwenye usaili Mkoa wa Shinyanga mnajulishwa kuwa kuna mabadiliko ya mahali pa kufanyia usaili wa kuandika pamoja na usaili wa mahojiano MABADILIKO ENEO LA USAILI SHINYANGA

Continue Reading »

MABADILIKO ya Eneo la Kufanyia Usaili wa Mahojiano Mwalimu Daraja la IIIA Mkoa Wa Tabora

Filed in Usaili by on 20/01/2025 0 Comments
MABADILIKO ya Eneo la Kufanyia Usaili wa Mahojiano Mwalimu Daraja la IIIA Mkoa Wa Tabora

MABADILIKO ya Eneo la Kufanyia Usaili wa Mahojiano Mwalimu Daraja la IIIA Mkoa Wa Tabora Waombaji kazi wote wa Kada ya MWALIMU DARAJA IIIA walioitwa kwenye usaili wa Mahojiano ya tarehe 21.01.2025 Mkoa wa Tabora mnajulishwa kuwa kuna mabadiliko ya mahali pa kufanyia usaili wa Mahojiano. Usaili wa Mahojiano utafanyika Chuo cha Utumishi wa Umma […]

Continue Reading »

MATOKEO ya Usaili Wa Kuandika Mwalimu Daraja la IIIA

Filed in Usaili by on 19/01/2025 2 Comments
MATOKEO ya Usaili Wa Kuandika Mwalimu Daraja la IIIA

MATOKEO ya Usaili Wa Kuandika Mwalimu Daraja la IIIA MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA MWALIMU DARAJA LA IIIA ULIOFANYIKA TAREHE 18/01/2025 Wasailiwa wote waliochaguliwa (SELECTED) wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili. Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates) Wasailiwa wote wanatakiwa kufika na vitambulisho vyao. MWALIMU DARAJA LA IIIA

Continue Reading »

MAJINA na Mikoa ya Usaili kwa Wasailiwa wa Kada ya Fundi Sanifu Maabara ya Shule Daraja la II

Filed in Usaili by on 14/01/2025 0 Comments
MAJINA na Mikoa ya Usaili kwa Wasailiwa wa Kada ya Fundi Sanifu Maabara ya Shule Daraja la II

MAJINA na Mikoa ya Usaili kwa Wasailiwa wa Kada ya Fundi Sanifu Maabara ya Shule Daraja la II MAJINA NA MIKOA YA USAILI KWA WASAILIWA WA KADA YA FUNDI SANIFU MAABARA YA SHULE DARAJA LA II (SCHOOL LABORATORY TECHNICIAN II) UTAKAOFANYIKA TAREHE 16/01/2025. BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA MAJINA

Continue Reading »

NYARAKA Muhimu Kwenda nazo Kwenye Usaili Kada ya Ualimu

Filed in Usaili by on 13/01/2025 0 Comments
NYARAKA Muhimu Kwenda nazo Kwenye Usaili Kada ya Ualimu

NYARAKA Muhimu Kwenda nazo Kwenye Usaili Kada ya Ualimu Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma, imebainisha Nyaraka muhimu ambazo walioitwa kwenye usaili Katika Kada ya Ualimu wanapaswa kwenda nazo. Usaili wa Ualimu utafanyika kuanzia tarehe 14 January hadi terehe 24 February, 2025 na usaili huo utaendeshwa na Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika […]

Continue Reading »

MATOKEO ya Usaili wa Vitendo Mwandishi Mwendesha Ofisi Daraja la II

Filed in Usaili by on 12/01/2025 0 Comments
MATOKEO ya Usaili wa Vitendo Mwandishi Mwendesha Ofisi Daraja la II

MATOKEO ya Usaili wa Vitendo Mwandishi Mwendesha Ofisi Daraja la II Wasailiwa wote waliochaguliwa (SELECTED) wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili. Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates) Wasailiwa wote wanatakiwa kufika na vitambulisho vyao. MATOKEO YA USAILI WA VITENDO MWANDISHI MWENDESHA OFISI DARAJA LA II ULIOFANYIKA TAREHE 11/01/2025

Continue Reading »

error: Content is protected !!