Michezo

RATIBA ya Mechi za Leo Ijumaa 24 January 2025

Filed in Michezo by on 24/01/2025 0 Comments
RATIBA ya Mechi za Leo Ijumaa 24 January 2025

RATIBA ya Mechi za Leo Ijumaa 24 January 2025 Tanzania – NBC Championship 16:00 Mbeya Kwanza vs Songea United 16:00 African Sports vs Cosmopolitan 16:00 Green Warriors vs Mtibwa Sugar Spain – Laliga 23:00 Las Palmas vs Osasuna Germany – Bundesliga 22:30 Wolfsburg vs Holstein Kiel Italy – Serie A 22:45 Torino vs Cagliari France […]

Continue Reading »

SIMBA yapiga hodi Uhamiaji Kuombea Uraia Wachezaji Wake

Filed in Michezo by on 24/01/2025 0 Comments
SIMBA yapiga hodi Uhamiaji Kuombea Uraia Wachezaji Wake

SIMBA yapiga hodi Uhamiaji Kuombea Uraia Wachezaji Wake Klabu ya Simba SC Tanzania imeandika barua kwa Kamishina Jenerali wa Uhamiaji nchini ikiwaombea uraia wa Tanzania wachezaji wake 9 Kati ya 12 ambao imewasijili kwa mujibu wa kanuni za Ligi Kuu ya Bara. Kupitia Barua iliyosainiwa na Mwenyekiti wa Klabu hiyo, Mrutaza Mangungu imesema kuwa; Kwa […]

Continue Reading »

UHAMIAJI Yatoa Ufafanuzi Wachezaji wa Singida BS kupewa Uraia wa Tanzania

Filed in Michezo by on 23/01/2025 0 Comments
UHAMIAJI Yatoa Ufafanuzi Wachezaji wa Singida BS kupewa Uraia wa Tanzania

UHAMIAJI Yatoa Ufafanuzi Wachezaji wa Singida BS kupewa Uraia wa Tanzania Idara ya Uhamiaji ya Tanzania imethibitisha kuwa Wachezaji watatu wanaocheza Katika Klabu ya Singida Black Stars, Emmanuel Kwame Keyekeh (Ghana), Josephat Arthur Bada (Ivory Coast) na Mohamed Damaro Camara (Guinea) kupewa uraia wa Tanzania. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Idara ya Uhamiaji January […]

Continue Reading »

RATIBA ya Mechi za Leo Alhamisi 23 January 2025

Filed in Michezo by on 23/01/2025 0 Comments
RATIBA ya Mechi za Leo Alhamisi 23 January 2025

RATIBA ya Mechi za Leo Alhamisi 23 January 2025 UEFA Europa League – League Stage 20:45 AZ Alkmaar vs AS Roma 20:45 Bodoe/Glimt vs Maccabi Tel Aviv 20:45 FC Porto vs Olympiacos 20:45 Fenerbahce vs Lyon 20:45 Hoffenheim vs Tottenham Hotspur 20:45 Malmo FF vs FC Twente 20:45 Qarabag FK vs FCSB 20:45 Viktoria Plzen […]

Continue Reading »

MSIMAMO Ligi Kuu ya Wanawake (TWPL) 2024/2025

Filed in Michezo by on 23/01/2025
MSIMAMO Ligi Kuu ya Wanawake (TWPL) 2024/2025

MSIMAMO Ligi Kuu ya Wanawake (TWPL) 2024/2025 Tanzania Women’s Premier League 2024/2025, Msimamo wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania (TWPL) 2024/2025. Msimamo wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania (TWPL) hadi Leo tarehe 22 January 2025.

Continue Reading »

AMAS Obasogie Golikipa Mpya wa Yanga

Filed in Michezo by on 23/01/2025 0 Comments
AMAS Obasogie Golikipa Mpya wa Yanga

AMAS Obasogie Golikipa Mpya wa Yanga klabu ya Singida Black Stars imetangaza Kukamilisha usajili golikipa, Amas Obasogie mwenye umri wa miaka 22 raia wa Nigeria Kutoka Fasil Kenema ya Ethiopia. Baada ya utambulisho hu Singida Black Stars ilithibitisha kumsajili kipa huyo kwa makuliano maalum na klabu ya Young Africans. Afisa Habari wa Klabu hiyo, Hussein […]

Continue Reading »

RATIBA ya Mechi Za Simba SC Zilizobaki 2024/2025

Filed in Michezo by on 23/01/2025 0 Comments
RATIBA ya Mechi Za Simba SC Zilizobaki 2024/2025

RATIBA ya Mechi Za Simba SC Zilizobaki 2024/2025 02 February 2025 16:00 Tabora United vs Simba SC 06 February 2025 16:15 Fountain Gate vs Simba SC 11 February 2025 16:00 Simba SC vs Tanzania Prisons 15 February 2025 16:15 Simba SC vs Dodoma Jiji FC 19 February 2025 18:30 Namungo FC vs Simba SC 24 […]

Continue Reading »

MATOKEO Yanga vs Copco FC 25 January 2025

Filed in Michezo by on 21/01/2025 0 Comments
MATOKEO Yanga vs Copco FC 25 January 2025

MATOKEO Yanga vs Copco FC 25 January 2025 Yanga inatarajiwa kucheza mchezo LIVE Update Yanga vs Copco FC Leo 25 January 2025

Continue Reading »

RATIBA ya Mechi za Leo Jumanne 21 January 2025

Filed in Michezo by on 21/01/2025 0 Comments
RATIBA ya Mechi za Leo Jumanne 21 January 2025

RATIBA ya Mechi za Leo Jumanne 21 January 2025 UEFA Champions League – League Stage 20:45 AS Monaco vs Aston Villa 20:45 Atalanta vs Sturm Graz 23:00 Atletico Madrid vs Bayer Leverkusen 23:00 Benfica vs Barcelona 23:00 Bologna vs Borussia Dortmund 23:00 Club Brugge vs Juventus 23:00 FK Crvena Zvezda vs PSV Eindhoven 23:00 Liverpool […]

Continue Reading »

RATIBA Mpya ya Ligi Kuu ya NBC 2024/2025

Filed in Michezo by on 20/01/2025 0 Comments
RATIBA Mpya ya Ligi Kuu ya NBC 2024/2025

RATIBA Mpya ya Ligi Kuu ya NBC 2024/2025 Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imetangaza Maboresho ya Ligi Kuu ya NBC 2024/2025 Michezo ya Ligi Kuu ya NBC sasa itarejea February 01, 2025 kwa michezo ya ‘viporo’ kabla ya kuendelea na michezo ya mzunguko wa 17. Kwa mujibu wa ratiba mpya iliyotolewa na Bodi ya […]

Continue Reading »

error: Content is protected !!