Makala

AINA 3 za Uraia wa Tanzania

Filed in Makala by on 23/01/2025 0 Comments
AINA 3 za Uraia wa Tanzania

AINA 3 za Uraia wa Tanzania Uraia wa Tanzania unatawaliwa na Sheria ya Uraia wa Tanzania, Sura ya 357 (Toleo Lililorekebishwa la 2002) na Kanuni zake za 1997. Kuna aina tatu za uraia ambazo ni: 1. Uraia kwa Kuzaliwa. Mtu yeyote aliyezaliwa katika Jamhuri ya Muungano siku ya au baada ya Muungano atahesabiwa kuwa ni […]

Continue Reading »

NGAZI ya Mishahara ya Watumishi wa Serikali Tanzania

Filed in Makala by on 23/01/2025 0 Comments
NGAZI ya Mishahara ya Watumishi wa Serikali Tanzania

Ngazi ya Mishahara ya WATUMISHI wa Serikali ya Tanzania,Tanzania Government Public Servant Salary Scales, New pay scales were established by the government, Viwango vya Mishahara ya WATUMISHI Serikalini. Mfumo wa malipo pamoja na madaraja UTUMISHI, kupitia Makala hii utaweza kuona viwango vya malipo kwa kila daraja ambavyo huamuliwa na serikali Kuu ya Tanzania. Ngazi za […]

Continue Reading »

MISHAHARA ya Watumishi wa Serikali

Filed in Makala by on 23/01/2025 0 Comments
MISHAHARA ya Watumishi wa Serikali

MISHAHARA ya Watumishi wa Serikali Viwango vya Mshahara kwa Watumishi wa Umma Tanzania 2024,Viwango vipya Mishahara serikalini 2024/2025, Salary Scale Tanzania 2024/2025,Nafasi za kazi wizara ya elimu 2024. Serikali inaendelea kutekeleza Sera ya malipo ya Mshahara na Motisha katika Utumishi wa Umma ya Mwaka 2010. Katika hatua za kutimiza malengo ya Sera hii, Serikali imefanya […]

Continue Reading »

VIWANGO Vya Mishahara ya Walimu

Filed in Makala by on 23/01/2025 0 Comments
VIWANGO Vya Mishahara ya Walimu

VIWANGO Vya Mishahara ya Walimu Tume ya Utumishi wa Umma (Public Service Commission) ndiyo husimamia viwango vya mishahara ya Watumishi wa Umma, ikiwemo Kada ya Ualimu. Kila mwaka, viwango hivi vya mishahara hubadilishwa ili kukabiliana na changamoto za kiuchumi, mfumuko wa bei, na sera za serikali kuhusu maslahi ya watumishi. Hii inamaamisha kwamba mishahara ya […]

Continue Reading »

UFAHAMU Ugonjwa wa Marburg na Jinsi ya Kujikinga

Filed in Makala by on 21/01/2025 0 Comments
UFAHAMU Ugonjwa wa Marburg na Jinsi ya Kujikinga

UFAHAMU Ugonjwa wa Marburg na Jinsi ya Kujikinga FAHAMU JINSI UGONJWA WA MARBURG UNAVYOENEA Marburg ni Ugonjwa unaosababishwa na Virusi vya Marburg na unaambukizwa kwa haraka. Ugonjwa huu unaenea kwa njia zifuatazo; Kugusa Majimaji ya mwili kama vile; Kinyesi Matapishi Damu Mkojo na Jasho Kugusa vitu vilivyotumiwa na mtu mwenye ugonjwa wa Marburg mfano; Vyombo […]

Continue Reading »

JINSI ya Kujaza Fomu ya Maombi ya Utambulisho wa Taifa

Filed in Makala by on 18/01/2025 0 Comments
JINSI ya Kujaza Fomu ya Maombi ya Utambulisho wa Taifa

JINSI ya Kujaza Fomu ya Maombi ya Utambulisho wa Taifa Jaza fomu ya maombi ya Utambulisho wa Taifa Namba 1A kwa kalamu ya wino mweusi na kwa herufi kubwa. (Fomu inapatikana kwenye ofisi ya Usajili ya NIDA, Wilayani/Serikali ya Mtaa na kwenye tovuti yetu) Fomu ya maombi ya Utambulisho wa Taifa Namba 1A Hakikisha una […]

Continue Reading »

JINSI ya Kupata Kitambulisho cha NIDA Kilichoharibika au Kupotea

Filed in Makala by on 18/01/2025 0 Comments
JINSI ya Kupata Kitambulisho cha NIDA Kilichoharibika au Kupotea

JINSI ya Kupata Kitambulisho cha NIDA Kilichoharibika au Kupotea Jinsi ya Kuhuisha Taarifa za Kitambulisho kilichopotea kwa raia wa Tanzania Kuna hatua mbalimbali zinazotakiwa kufuatwa na mwombaji aliyepoteza Kitambulisho cha Taifa ili kupatiwa kingine na kuna gharama kidogo mwombaji atatakiwa kuchangia:- Mwombaji unatakiwa kuwasilisha fomu ya polisi ya upotevu wa mali/vitu, katika ofisi ya usajili […]

Continue Reading »

FAHAMU Kitambulisho Chako Cha NIDA Kilipo

Filed in Makala by on 17/01/2025
FAHAMU Kitambulisho Chako Cha NIDA Kilipo

FAHAMU Kitambulisho Chako Cha NIDA Kilipo Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) inapenda kuwafahamisha wananchi kuwa vitambulisho vya Taifa vimechapishwa na kusambazwa maeneo mbalimbali. Kadhalika, orodha ya majina ya watu wote ambao vitambulisho vyao vimechapishwa imewekwa kwenye tovuti ya Mamlaka kupitia kiunganishi https://vitambulisho.nida.go.tz Hivyo, mwananchi ambaye hujachukua kitambulisho chako, unaweza kufahamu kwa kupitia tovuti hii […]

Continue Reading »

MASWALI ya Usaili Ajira za Walimu

Filed in Makala, Education by on 12/01/2025
MASWALI ya Usaili Ajira za Walimu

MASWALI ya Usaili Ajira za Walimu Maswali ya Usaili Ajira za Ualimu Wakati wa kujiandaa na usaili kwaajili kupata kazi ya kufundisha, watahiniwa wanaweza kutarajia maswali ambayo hutathmini falsafa yao ya ufundishaji, mikakati ya usimamizi wa darasa, na uwezo wa kushirikiana na wanafunzi na wazazi. Hapa chini tumekuandalia maswali ya usaili pamoja na majibu yake. […]

Continue Reading »

JINSI ya Kumkamata Mchepuko wa Mkeo

Filed in Makala by on 03/01/2025
JINSI ya Kumkamata Mchepuko wa Mkeo

JINSI ya Kumkamata Mchepuko wa Mkeo Baada ya mke wangu kuanza tabia ya kuninyima tendo la ndoa kwa kisingizio kuwa amechoka na shughuli za kila siku, nilianza kupata wasiwasi kuhusu mwenendo wa tabia yake. Nilijaribu kukaa naye chini kumuuliza kuhusu hilo na kuniambia hakuna chochote kilichobadilika kwake bali ni wivu wangu wa kimapenzi ndio unanitesa. […]

Continue Reading »

error: Content is protected !!