
Sitarudia tena ukahaba, kilichonipata huko siwezi kusahau!
Sitarudia tena ukahaba, kilichonipata huko siwezi kusahau! Kutokana na ugumu wa maisha nilijikuta nimeingia kwenye biashara ya ukahaba bila mimi mwenye kupenda, nilifanya kazi ile kishingo upande, ni vile tu sikuwa na jinsi. Huko nilikumbana na changamoto nyingi, moja wapo ambayo ni kubwa zaidi ni kukamatwa na Polisi na kufikishwa kituoni, kama ukiwa siku hiyo […]