Magazeti

MAGAZETI ya Tanzania Leo Ijumaa 24 January 2025

Filed in Magazeti by on 24/01/2025 0 Comments
MAGAZETI ya Tanzania Leo Ijumaa 24 January 2025

MAGAZETI ya Tanzania Leo Ijumaa 24 January 2025 Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema maeneo yanayopata mvua za chini ya wastani hadi juu ya wastani yanatarajiwa kuwa na matukio ya hali mbaya ya hewa, kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa. MATOKEO Kidato Cha Nne 2024 TMA imesema vipindi vya mvua kubwa vinatarajiwa […]

Continue Reading »

MAGAZETI ya Tanzania Leo Alhamisi 23 January 2025

Filed in Magazeti by on 22/01/2025 0 Comments
MAGAZETI ya Tanzania Leo Alhamisi 23 January 2025

MAGAZETI ya Tanzania Leo Alhamisi 23 January 2025 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amesema Jeshi la Polisi litaendelea kutekeleza jukumu lake la kikatiba kwa kusimamia usalama katika mikutano na shughuli za vyama vya siasa bila kujali itikadi ya chama chochote. Bashungwa amelipongeza jeshi hilo kwa kusimamia ulinzi na usalama kwa weledi […]

Continue Reading »

MAGAZETI ya Tanzania Leo Jumatano 22 January 2025

Filed in Magazeti by on 22/01/2025 0 Comments
MAGAZETI ya Tanzania Leo Jumatano 22 January 2025

MAGAZETI ya Tanzania Leo Jumatano 22 January 2025 Rais wa Marekani, Donald Trump, amesaini amri kadhaa za kiutendaji baada ya kuapishwa, ikiwemo kufuta haki ya uraia wa kuzaliwa kwa watoto wa wahamiaji haramu na wenye viza za muda. Uamuzi huu umebadilisha tafsiri ya muda mrefu ya marekebisho ya 14 ya Katiba ya Marekani, ambayo yalikuwa […]

Continue Reading »

MAGAZETI ya Tanzania Leo Jumanne 21 January 2025

Filed in Magazeti by on 21/01/2025 0 Comments
MAGAZETI ya Tanzania Leo Jumanne 21 January 2025

MAGAZETI ya Tanzania Leo Jumanne 21 January 2025 Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani linamshikilia mtu mmoja kwa tuhuma ya kusambaza video za utupu maarufu ‘connection’ zinazodaiwa kuwa za wanafunzi wa Shule ya Sekondari Baobab. Hayo yamesemwa Jumatatu ya January 20, 2025 na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Salim Morcase, alipokuwa akizungumza na waandishi […]

Continue Reading »

MAGAZETI ya Tanzania Leo Jumatatu 20 January 2025

Filed in Magazeti by on 19/01/2025 0 Comments
MAGAZETI ya Tanzania Leo Jumatatu 20 January 2025

MAGAZETI ya Tanzania Leo Jumatatu 20 January 2025 Mtandao wa TikTok umeacha kufanya kazi nchini Marekani, saa chache kabla ya sheria mpya inayopiga marufuku mtandao huo kuanza kutekelezwa. Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Uingereza (BBC), mtandao huo umepigwa marufuku kutokana na wasiwasi kuhusu uhusiano wake na Serikali ya China na ilipewa tarehe ya […]

Continue Reading »

MAGAZETI ya Tanzania Leo Jumapili 19 January 2025

Filed in Magazeti by on 19/01/2025 0 Comments
MAGAZETI ya Tanzania Leo Jumapili 19 January 2025

MAGAZETI ya Tanzania Leo Jumapili 19 January 2025 Baada ya kushindwa kutinga robo Fainali, Klabu Young Africans imekosa kiasi cha Dola 900,000 (Sh2.3 bilioni) ambacho kila timu inayotinga hatua hiyo inajihakikishia kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF). Yanga imeshindwa kufuzu hatua hiyo msimu huu baada ya kulazimishwa sare ya 0-0 na MC Alger […]

Continue Reading »

MAGAZETI ya Tanzania Leo Jumamosi 18 January 2025

Filed in Magazeti by on 18/01/2025 0 Comments
MAGAZETI ya Tanzania Leo Jumamosi 18 January 2025

MAGAZETI ya Tanzania Leo Jumamosi 18 January 2025 Rais Samia Suluhu Hassan amemhamisha Dk Seif Shekalaghe kutoka Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu kwenda kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya. Aidha, amemhamisha Dk John Jingu kutoka Wizara ya Afya kwenda kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, […]

Continue Reading »

MAGAZETI ya Tanzania Leo Ijumaa 17 January 2025

Filed in Magazeti by on 17/01/2025 0 Comments
MAGAZETI ya Tanzania Leo Ijumaa 17 January 2025

MAGAZETI ya Tanzania Leo Ijumaa 17 January 2025 Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limemteua mwamuzi Ahmed Arajiga na wenzake watatu kuchezesha mechi ya Kundi B Kombe la Shirikisho Afrika kati ya RS Berkane ya Morocco na Stellenbosch ya Afrika Kusini itakayopigwa Jumapili ya Januari 19. Timu zote mbili tayari zimefuzu hatua ya robo Fainali, Berkane […]

Continue Reading »

MAGAZETI ya Tanzania Leo Alhamisi 16 January 2025

Filed in Magazeti by on 16/01/2025 0 Comments
MAGAZETI ya Tanzania Leo Alhamisi 16 January 2025

MAGAZETI ya Tanzania Leo Alhamisi 16 January 2025 Wakati Shirika la Afya Duniani (WHO) likisema watu wanane wamefariki dunia kutokana na ugonjwa unaoshukiwa kuwa wa virusi vya Marburg (MVD) mkoani Kagera, Wizara ya Afya ya Tanzania imesema sampuli zilizochukuliwa hazijathibitisha uwepo wa virusi hivyo. Taarifa hiyo ya Wizara ya Afya imetolewa leo Januari 15, 2025 […]

Continue Reading »

MAGAZETI ya Tanzania Leo Jumatano 15 January 2025

Filed in Magazeti by on 14/01/2025 0 Comments
MAGAZETI ya Tanzania Leo Jumatano 15 January 2025

MAGAZETI ya Tanzania Leo Jumatano 15 January 2025 Baadaya kukaa nje ya uwanja kwa takribani miezi sita, imefichuka kuwa mshambuliaji, Eliuter Mpepo amemalizana na Singida Black Stars hivyo ni suala la muda tu kuanza kuitumikia timu hiyo akiwa mchezaji huru. Mpepo alikuwa nje ya uwanja baada ya kumalizana na timu yake ya zamani Trident ya […]

Continue Reading »

error: Content is protected !!