Habari

MWONGOZO Kwa Wasafiri na.15 wa tarehe 21 January 2025

Filed in Habari by on 23/01/2025 0 Comments
MWONGOZO Kwa Wasafiri na.15 wa tarehe 21 January 2025

MWONGOZO Kwa Wasafiri na.15 wa tarehe 21 January 2025 MWONGOZO KWA WASAFIRI NA. 15 WA TAREHE 21 JANUARI 2025 KUFUATIA MLIPUKO WA UGONJWA WA MARBURG Mnamo tarehe 20 January, 2025 Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (JMT) ilitangaza mlipuko wa Ugonjwa wa Virusi vya Marburg (MVD) ulioathiri Wilaya ya Biharamulo mkoani Kagera, Kaskazini Magharibi […]

Continue Reading »

NOTI Mpya Kuanza Kutumika tarehe 01 February 2025

Filed in Habari by on 23/01/2025 0 Comments
NOTI Mpya Kuanza Kutumika tarehe 01 February 2025

NOTI Mpya Kuanza Kutumika tarehe 01 February 2025 Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Emanuel Tutuba amesema noti mpya za Tanzania zenye saini ya Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba na yeye, toleo la mwaka 2010, zitaingia kwenye mzunguko kuanzia February 01, 2025. Tutuba amesema hayo Jumatano, January 22, 2025 jijini Dar es Salaam […]

Continue Reading »

Kauli ya Zitto Kabwe kwa Freeman Mbowe

Filed in Habari by on 22/01/2025 0 Comments
Kauli ya Zitto Kabwe kwa Freeman Mbowe

Kauli ya Zitto Kabwe kwa Freeman Mbowe Kiongozi Mstaafu wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, amempongeza Freeman Mbowe kwa ushindani ulioutoa katika mchakato wote wa Uchaguzi Mkuu wa CHADEMA na amempongeza zaidi Mbowe yeye binafsi kwa mchango wake mkubwa katika siasa za mageuzi za Tanzania na CHADEMA Zitto Kabwe amesema “Nakukaribisha Mweyekiti Mstaafu Mbowe katika ustaafu […]

Continue Reading »

MATOKEO ya Uchaguzi Mkuu Chadema 2025

Filed in Habari by on 22/01/2025 0 Comments
MATOKEO ya Uchaguzi Mkuu Chadema 2025

MATOKEO ya Uchaguzi Mkuu Chadema 2025 Breaking: Tundu Lissu ndiye Mwenyekiti mpya Chadema Taifa. Tundu Lissu amechaguliwa kuwa Mwenyekiti mpya wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), akimshinda mtangulizi wake, Freeman Mbowe aliyekuwa anatetea nafasi yake katika uchaguzi wa kihistoria uliofanyika January 21,2025 katika ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam. Katika uchaguzi huo Mbowe […]

Continue Reading »

MMOJA akutwa na Virusi vya Marburg Kagera

Filed in Habari by on 20/01/2025 0 Comments
MMOJA akutwa na Virusi vya Marburg Kagera

MMOJA akutwa na Virusi vya Marburg Kagera RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema mtu mmoja amekutwa na maambukizi ya virusi vya Marburg (MVD) Wilayani Biharamuro, Mkoani Kagera baada ya taarifa kusambaa mitandaoni kwamba kuna ugonjwa wa virusi vya Marburg Mkoani humo. Dkt. Samia ameyasema hayo leo January 20, […]

Continue Reading »

JINSI ya Kumchukulia Mtu Kitambulisho Cha NIDA

Filed in Habari by on 19/01/2025 0 Comments
JINSI ya Kumchukulia Mtu Kitambulisho Cha NIDA

JINSI ya Kumchukulia Mtu Kitambulisho Cha NIDA Kufuatia baadhi ya wananchi kutochukua Vitambulisho vyao vilivyokuwa katika ofisi za Kata, Vijiji, Mitaa na Shehia, Vitambulisho hivyo sasa vimekusanywa na kurudishwa katika ofisi za NIDA za Wilaya. Ukipokea Ujumbe Mfupi wa simu (SMS) fika ofisi ya NIDA Wilaya uliko jisajili kuchukua Kitambulisho chako. NIDA imesema kuwa mtu […]

Continue Reading »

HISTORIA ya DK Emmanuel Nchimbi Mgombea Mwenza wa Urais CCM 2025

Filed in Habari by on 19/01/2025 0 Comments
HISTORIA ya DK Emmanuel Nchimbi Mgombea Mwenza wa Urais CCM 2025

HISTORIA ya DK Emmanuel Nchimbi Mgombea Mwenza wa Urais CCM 2025 Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ambaye leo amepitishwa kuwa Mgombea Urais (CCM) kwenye Uchaguzi wa mwaka huu 2025, amemtangaza Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Emmanuel Nchimbi kuwa Mgombea mwenza wake wa Urais. Akiongea leo January 19,2025 kwenye […]

Continue Reading »

Wasiochukua Vitambulisho Kufungiwa NIDA zao

Filed in Habari by on 17/01/2025 1 Comment
Wasiochukua Vitambulisho Kufungiwa NIDA zao

Wasiochukua Vitambulisho Kufungiwa NIDA zao Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) imetangaza kusitisha matumizi ya namba za utambulisho kwa wale waliokaidi kuchukua vitambulisho vyao. Tangazo hilo linakuja ikiwa zimesalia siku 15 kufikia ukomo wa agizo la Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa, la kusambaza vitambulisho milioni 1.2 vilivyotengenezwa na mamlaka hiyo, ambapo […]

Continue Reading »

LAINI 12896 Zafungiwa Kwa Utapeli

Filed in Habari by on 17/01/2025 0 Comments
LAINI 12896 Zafungiwa Kwa Utapeli

LAINI 12896 Zafungiwa Kwa Utapeli Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imetangaza kuzifungia laini za simu 12,896 kutokana na kujihusisha na vitendo vya ulaghai wa mtandaoni kwa kipindi cha miezi mitatu iliyopita. Kwa mujibu wa ripoti ya TCRA ya robo ya pili ya mwaka wa fedha 2024/2025, matukio ya ulaghai kwa njia ya simu yamepungua kwa […]

Continue Reading »

BEI Mpya za Mafuta ya Petroli Tanzania January 2025

Filed in Habari by on 03/01/2025
BEI Mpya za Mafuta ya Petroli Tanzania January 2025

BEI Mpya za Mafuta ya Petroli Tanzania January 2025 Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) inatangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini zitakazotumika kuanzia Jumatano ya tarehe 01 Januari 2025 saa 6:01 usiku. Kwa mwezi Januari 2025, bei za rejareja na ta jumla katika Mikoa ya Dar […]

Continue Reading »

error: Content is protected !!