Education

SHULE 10 Bora Kwa GPA Matokeo ya Kidato Cha Nne 2024

Filed in Education by on 24/01/2025 0 Comments
SHULE 10 Bora Kwa GPA Matokeo ya Kidato Cha Nne 2024

SHULE 10 Bora Kwa GPA Matokeo ya Kidato Cha Nne 2024 Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha nne uliofanyika kuanzia November 11 hadi 29, 2024 huku matokeo ya wanafunzi 67 wakiwemo watano walioandika matusi yakifutwa. Matokeo hayo yametangazwa Alhamisi Januari 23, 2025 na Katibu Mtendaji wa Necta, Dk Said […]

Continue Reading »

459 Waliozuiliwa Matokeo Kidato cha Nne 2024 Kurudia Mtihani

Filed in Education by on 23/01/2025 0 Comments
459 Waliozuiliwa Matokeo Kidato cha Nne 2024 Kurudia Mtihani

459 Waliozuiliwa Matokeo Kidato cha Nne 2024 Kurudia Mtihani Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) limezuia matokeo ya Wanafunzi 459 wa Kidato cha Nne 2024 kwa sababu mbalimbali zilizosababisha wasifanye mitihani yote. Hata hivyo wanafunzi hao wamepewa fursa ya kurudia mitihani ya kidato cha Nne mwaka huu 2025. MATOKEO KIDATO CHA NNE 2024 Katibu Mtendaji wa […]

Continue Reading »

MATOKEO Kidato Cha Nne 2024

Filed in Education by on 23/01/2025
MATOKEO Kidato Cha Nne 2024

MATOKEO Kidato Cha Nne 2024 Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limesema kati ya watahiniwa 477,262 waliofaulu mtihani wa Kidato cha Nne, wasichana ni 249,078 sawa na asilimia 52, na wavulana ni 228,184 sawa na asilimia 48. Aidha, limesema kwa kuangalia ubora wa ufaulu wa jinsi, kwa kuzingatia ufaulu wa madaraja ya I-III, wavulana ni […]

Continue Reading »

RATIBA ya Mtihani wa Darasa la Saba 2025

Filed in Education by on 23/01/2025 0 Comments
RATIBA ya Mtihani wa Darasa la Saba 2025

RATIBA ya Mtihani wa Darasa la Saba 2025 RATIBA YA MTIHANI WA KUMALIZA ELIMU YA MSINGI (PRIMARY SCHOOL LEAVING EXAMINATION TIMETABLE) SEPTEMBA, 2025 PSLE 2025 EXAM TIMETABLE RATIBA YA MTIHANI WA DARASA LA SABA 2025 MAELEKEZO MUHIMU Hakikisha kuwa unayo Ratiba ya Mtihani ya mwaka 2025 iliyoandaliwa na Baraza la Mitihani la Tanzania. Hakikisha kwamba […]

Continue Reading »

NAFASI za Ufadhili wa Masomo MUHAS 2025

Filed in Education by on 22/01/2025 0 Comments
NAFASI za Ufadhili wa Masomo MUHAS 2025

NAFASI za Ufadhili wa Masomo MUHAS 2025 Muhimbili University of Health and Allied Sciences in collaboration with Swedish International Development Cooperation Agency (Sida) A call for PhD Scholarship Applications Background: The Muhimbili University of Health and Allied Sciences (MUHAS) has been awarded a six-year (2024-2030) grant, from the Government of Sweden through its Swedish International […]

Continue Reading »

MATOKEO ya Darasa la Nne 2024 Zanzibar

Filed in Education by on 22/01/2025 0 Comments
MATOKEO ya Darasa la Nne 2024 Zanzibar

MATOKEO ya Darasa la Nne 2024 Zanzibar Baraza la Mitihani la Zanzibar linapenda kuujulisha umma kuwa Matokeo ya Mitihani ya Taifa ya Darasa la Nne ya Mwaka 2024 tayari yametangazwa. BARAZA LA MITIHANI LA ZANZIBAR EXAMINATIONS RESULT STANDARD FOUR 2024 BONYEZA HAPA KUTAZAMA MATOKEO YA DARASA LA NNE 2024 ZANZIBAR Aidha, kwa mzazi, Mwalimu au […]

Continue Reading »

MATOKEO ya Kidato Cha Pili Zanzibar 2024

Filed in Education by on 22/01/2025 0 Comments
MATOKEO ya Kidato Cha Pili Zanzibar 2024

MATOKEO ya Kidato Cha Pili Zanzibar 2024 Baraza la Mitihani la Zanzibar linapenda kuujulisha umma kuwa Matokeo ya Mitihani ya Taifa ya Kidato Cha Pili ya Mwaka 2024 tayari yametangazwa. BARAZA LA MITIHANI LA ZANZIBAR EXAMINATIONS RESULT FORM TWO 2024 BONYEZA HAPA KUTAZAMA MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2024 ZANZIBAR Aidha, kwa mzazi, Mwalimu au […]

Continue Reading »

SIFA za Kujiunga na Chuo cha Serikali za Mitaa (LGTI)

Filed in Education by on 20/01/2025 0 Comments
SIFA za Kujiunga na Chuo cha Serikali za Mitaa (LGTI)

SIFA za Kujiunga na Chuo cha Serikali za Mitaa (LGTI) Chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo kilichopo Dodoma ni taasisi ya elimu inayotoa mafunzo mbalimbali kwa lengo la kuimarisha ujuzi na maarifa katika usimamizi wa serikali za mitaa na maendeleo ya jamii. Chuo hiki kinatoa kozi mbalimbali zinazolenga kuboresha utendaji kazi wa watumishi wa umma […]

Continue Reading »

RATIBA ya Mtihani wa Kidato cha Sita 2025

Filed in Education by on 20/01/2025 0 Comments
RATIBA ya Mtihani wa Kidato cha Sita 2025

RATIBA ya Mtihani wa Kidato cha Sita 2025 Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) limetoa ratiba ya Mtihani wa Kidato Cha Sita (ACSEE) kwa mwaka wa masomo 2025. Mitihani hiyo imepangwa kufanyika kuanzia tarehe 5 May, 2025 hadi tarehe 26 May 2025. ACSEE 2025 EXAM TIMETABLE BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA RATIBA YA MTIHANI WA KIDATO […]

Continue Reading »

MASWALI ya Usaili Ajira za Walimu

Filed in Makala, Education by on 12/01/2025
MASWALI ya Usaili Ajira za Walimu

MASWALI ya Usaili Ajira za Walimu Maswali ya Usaili Ajira za Ualimu Wakati wa kujiandaa na usaili kwaajili kupata kazi ya kufundisha, watahiniwa wanaweza kutarajia maswali ambayo hutathmini falsafa yao ya ufundishaji, mikakati ya usimamizi wa darasa, na uwezo wa kushirikiana na wanafunzi na wazazi. Hapa chini tumekuandalia maswali ya usaili pamoja na majibu yake. […]

Continue Reading »

error: Content is protected !!