CAF yaifungia Simba SC na faini juu yake

CAF yaifungia Simba SC na faini juu yake
CAF yaifungia Simba SC na faini juu yake
Klabu ya Simba imepokea maamuzi kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Barani Afrika (CAF) kuhusu vurugu zilizojitokeza katika mchezo dhidi ya CS Sfaxien uliofanyika Disemba 15, 2024.
Kutokana na Vurugu hizo CAF imeifungia Simba mechi mechi moja kucheza bila mashabiki pamoja na faini ya Dola elfu 40,000 (Sh 101 Milioni).
Baada ya Taarifa hiyo, klabu ya Simba imesitisha mauzo ya tiketi ya mchezo dhidi ya CS Constantine na kwa mashabiki ambao wameshanunua tiketi zitatumika kwenye mchezo ujao wa robo fainali.

CAF yaifungia Simba SC na faini juu yake