Sitarudia tena ukahaba, kilichonipata huko siwezi kusahau!
Sitarudia tena ukahaba, kilichonipata huko siwezi kusahau! Kutokana na ugumu wa maisha nilijikuta nimeingia kwenye biashara ya ukahaba bila mimi mwenye kupenda, nilifanya kazi ile kishingo upande, ni vile tu sikuwa na jinsi. Huko nilikumbana na changamoto nyingi, moja wapo ambayo ni kubwa zaidi ni kukamatwa na Polisi na kufikishwa kituoni, kama ukiwa siku hiyo […]
Mke wangu kaniambia siri ya Kushangaza Ajabu!
Mke wangu kaniambia siri ya Kushangaza Ajabu! Jina langu ni Frey, tumeishi na mke wangu Tuma kwa miaka 12 ndani ya ndoa yetu, naweza kusema kati ya Wanaume Duniani ambao wamefaidi matunda ya ndoa mimi ni mmoja wapo. Nasema hivyo kwa sababu tangu nimemuoa huyu mke wangu sikumbuki kama kuna siku tumewahi kugombana au kununiana […]
NAFASI za Kazi Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Arusha – Mount Meru
NAFASI za Kazi Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Arusha – Mount Meru Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Arusha – Mt. Meru anapenda kuwatangazia Watanzania wote wenye sifa zinazohitajika na wenye nia ya kufanya kazi katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Arusha – Mt. Meru kuwasilisha maombi yao. ✅DAKTARI BINGWA […]
NAFASI za Kazi DCB Commercial Bank PLC
NAFASI za Kazi DCB Commercial Bank PLC Position: Senior Manager, Credit Risk Background DCB Commercial Bank Plc is a fully-fledged retail and commercial bank in Tanzania. The bank offers banking services to Individuals, Microfinance, Small to Medium sized Businesses (MSME), as well as large corporate clients. DCB Bank has a wide branch network of over […]
NAFASI za Kazi Serengeti Breweries Limited
NAFASI za Kazi Serengeti Breweries Limited Position: Regional Agribusiness Manager-Zone 3 Job Posting Start Date: 21-01-2025 Job Description From Arthur Guinness to Johnnie Walker, our business was founded on people of great character, and in 250 years, nothing has changed. We’re the world’s leading premium alcohol company. Our brands are industry icons. And our success […]
RATIBA ya Mechi za Leo Ijumaa 24 January 2025
RATIBA ya Mechi za Leo Ijumaa 24 January 2025 Tanzania – NBC Championship 16:00 Mbeya Kwanza vs Songea United 16:00 African Sports vs Cosmopolitan 16:00 Green Warriors vs Mtibwa Sugar Spain – Laliga 23:00 Las Palmas vs Osasuna Germany – Bundesliga 22:30 Wolfsburg vs Holstein Kiel Italy – Serie A 22:45 Torino vs Cagliari France […]
SIMBA yapiga hodi Uhamiaji Kuombea Uraia Wachezaji Wake
SIMBA yapiga hodi Uhamiaji Kuombea Uraia Wachezaji Wake Klabu ya Simba SC Tanzania imeandika barua kwa Kamishina Jenerali wa Uhamiaji nchini ikiwaombea uraia wa Tanzania wachezaji wake 9 Kati ya 12 ambao imewasijili kwa mujibu wa kanuni za Ligi Kuu ya Bara. Kupitia Barua iliyosainiwa na Mwenyekiti wa Klabu hiyo, Mrutaza Mangungu imesema kuwa; Kwa […]
UHAMIAJI Yatoa Ufafanuzi Wachezaji wa Singida BS kupewa Uraia wa Tanzania
UHAMIAJI Yatoa Ufafanuzi Wachezaji wa Singida BS kupewa Uraia wa Tanzania Idara ya Uhamiaji ya Tanzania imethibitisha kuwa Wachezaji watatu wanaocheza Katika Klabu ya Singida Black Stars, Emmanuel Kwame Keyekeh (Ghana), Josephat Arthur Bada (Ivory Coast) na Mohamed Damaro Camara (Guinea) kupewa uraia wa Tanzania. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Idara ya Uhamiaji January […]
SHULE 10 Bora Kwa GPA Matokeo ya Kidato Cha Nne 2024
SHULE 10 Bora Kwa GPA Matokeo ya Kidato Cha Nne 2024 Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha nne uliofanyika kuanzia November 11 hadi 29, 2024 huku matokeo ya wanafunzi 67 wakiwemo watano walioandika matusi yakifutwa. Matokeo hayo yametangazwa Alhamisi Januari 23, 2025 na Katibu Mtendaji wa Necta, Dk Said […]
459 Waliozuiliwa Matokeo Kidato cha Nne 2024 Kurudia Mtihani
459 Waliozuiliwa Matokeo Kidato cha Nne 2024 Kurudia Mtihani Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) limezuia matokeo ya Wanafunzi 459 wa Kidato cha Nne 2024 kwa sababu mbalimbali zilizosababisha wasifanye mitihani yote. Hata hivyo wanafunzi hao wamepewa fursa ya kurudia mitihani ya kidato cha Nne mwaka huu 2025. MATOKEO KIDATO CHA NNE 2024 Katibu Mtendaji wa […]
MATOKEO Kidato Cha Nne 2024 Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limesema kati ya watahiniwa 477,262 waliofaulu mtihani wa Kidato cha Nne, wasichana ni 249,078 sawa na asilimia 52, na wavulana ni 228,184 sawa na asilimia 48. Aidha, limesema kwa kuangalia ubora wa ufaulu wa jinsi, kwa kuzingatia ufaulu wa madaraja ya I-III, wavulana ni […]