Bei za Ticket Uzinduzi wa Rio de Janeiro Bukoba
Ladies & Gentlemen, Brothers & Sister’s novemba Hii tunaufungua mwezi wa 11 Kibabe ni Uzinduzi wa Chimbo Jipya la Burudani Rio de Janeiro bukoba ndani ya Kiwanja kipana na chenye mziki mnene, Big scereen, vinywaji vya Kila aina, nyama choma, BBQ n.k.
Ufunguzi huo utapambwa na Burudani kutoka kwa Marioo, huku kwenye mashine utachezeshwa na djallybi, dj_mimy, djsuperstar tz, djchusemaster, renothedj na mrdjhamy tz.