BEI Mpya ya Vifurushi Vya Azam TV
BEI Mpya ya Vifurushi Vya Azam TV,Bei ya Vifurushi vya Azam TV mwezi,Bei mpya ya vifurushi vya azam tv wiki, Azam TV packages per week.
Azam TV ambayo moja ya Ving’amuzi Maarufu nchini Tanzania imefanya Maboresho ya Vifurushi vyake ambapo bei hiyo mpya imeanza kutumika Kuanzia August 01,2024.
Aidha Ukiwa na Azam TV, unaweza kupata Chaneli Mbalimbali za Burudani, Habari, Michezo Pamoja na Elimu.
Mchanganyiko wa Chaneli zinazotolewa na Azam TV hukidhi matakwa na Mapendeleo Mbalimbali, Kuhakikisha kwamba Watazamaji wana Chaguo za kutosha kuchagua.
Azam TV imetangaza Mabadiliko hayo kupitia njia ya sms kwenda Kwa wateja wake wote ambao wamejisajili na wanatumia Vingamuzi vyao kama inavyoonekana hapa Chini;
Ndugu Mteja, kuanzia 1/8/24 kutakuwa na mabadiliko ya bei. Kifurushi cha 25000 kuwa 28000; 17000 kuwa 19000; 10000 kuwa 12000; 6000 kuwa 7000 na 3000 kuwa 4000.
Bei Mpya ya Vifurushi vya Azam TV Kuanzia August 2024
AZAM TV PACKAGES | PRICE MONTHLY |
Azam Lite 80+ Channels | TZS 12,000 / Monthly |
Azam Pure 85+ Channels | TZS 19,000 / Monthly |
Azam Plus 95+ Channels | TZS 28,000 / Monthly |
Azam Play 130+ Channels | TZS 35,000 / Monthly |
Bei ya Vifurushi vya Azam TV Kwa Wiki
Azam TV WIKI | PRICE WEEKLY |
Wiki Azam Lite | TZS 4,000 / Weekly |
Wiki Azam Pure | TZS 7,000 / Weekly |
Kwa maelezo ya kina kuhusu king’amuzi cha Azam TV, vifurushi na mpangilio wa chaneli, ni vyema kutembelea tovuti yao rasmi au kuwasiliana na huduma kwa wateja wao.
Wataweza kutoa maelezo mahususi kuhusu bei, vifurushi vinavyopatikana, na vipengele au huduma zozote za ziada zinazotolewa na Azam TV nchini Tanzania.
Mawasiliano ya Azam TV.
PO Box 2517,
Dar Es Salaam,
Tanzania.
