AINA ya Vitambulisho vinavyotolewa na NIDA – National Identification Authority

Filed in Makala by on 21/10/2024 0 Comments
AINA ya Vitambulisho vinavyotolewa na NIDA - National Identification Authority

AINA ya Vitambulisho vinavyotolewa na NIDA – National Identification Authority

AINA ya Vitambulisho vinavyotolewa na NIDA – National Identification Authority

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA
NIDA inatoa vitambulisho vya aina tatu, ambavyo ni kitambulisho cha raia, kitambulisho cha mgeni mkaazi, na kitambulisho cha mkimbizi mwenye umri wa miaka 18 na kuendelea na anayeishi nchini kihalali.
1:Kitambulisho cha Raia
Kitambulisho cha Raia
Mahitaji yake:
  • Cheti cha kuzaliwa
  • Cheti za elimu ya msingiPasi ya kusafiria (Pasipoti)
  • Cheti cha elimu ya sekondari (kidato cha iv na vi)
  • Leseni ya udereva
  • Kadi ya bima ya afya
  • Kadi ya mfuko wa hifadhi ya jamii
  • Kadi ya mpiga kura
  • Nambari ya mlipa kodi (Tin. No)
  • Kitambulisho cha mzanzibar mkazi
  • Barua kutoka kwa Mwenyekiti wa serikali ya mtaa

2:Kitambulisho cha Mgeni Mkazi

Kitambulisho cha Mgeni Mkazi

Mahitaji yake:

  • Pasport ya nchi anakotoka
  • Kibali cha kukaa nchini kuendesha shughuli mbali mbali anazofanya mwombaji
AINA ya Vitambulisho vinavyotolewa na NIDA – National Identification Authority

3:Kitambulisho cha Mkimbizi

Kitambulisho cha Mkimbizi

Mahitaji:

  • Hari ya Mkimbizi: Hati inayosibitisha kuwa mwombaji ana hadhi ya kuwa mkimbizi nchini

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.


Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

error: Content is protected !!