459 Waliozuiliwa Matokeo Kidato cha Nne 2024 Kurudia Mtihani

459 Waliozuiliwa Matokeo Kidato cha Nne 2024 Kurudia Mtihani
459 Waliozuiliwa Matokeo Kidato cha Nne 2024 Kurudia Mtihani
Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) limezuia matokeo ya Wanafunzi 459 wa Kidato cha Nne 2024 kwa sababu mbalimbali zilizosababisha wasifanye mitihani yote.
Hata hivyo wanafunzi hao wamepewa fursa ya kurudia mitihani ya kidato cha Nne mwaka huu 2025.
MATOKEO KIDATO CHA NNE 2024
Katibu Mtendaji wa baraza hilo, Dk Said Mohammed, akitangaza matokeo ya kidato cha nne leo Alhamisi January 23, 2025 amesema kuwa Wanafunzi hao walipata matatizo ya kiafya na kushindwa kufanya mitihani ya kidato cha nne kwa masomo yote au idadi kubwa ya masomo.

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.
Tags: 459 Waliozuiliwa Matokeo Kidato cha Nne 2024 Kurudia Mtihani