26 Waitwa Tanzania dhidi ya Ethiopia na Guinea Kufuzu AFCON 2025
26 Waitwa Tanzania dhidi ya Ethiopia na Guinea Kufuzu AFCON 2025
Kikosi cha Taifa Stars kitakachoingia kambini kujiandaa na michezo miwili ya kufuzu AFCON 2025 dhidi ya Ethiopia na Guinea.
MAKIPA
1:Aishi Manula (Simba Sc)
2:Zuberi Foba (Azam Fc)
3:Metacha Mnata (Singida Black Stars)
MABEKI
4:Lusajo Mwaikenda (Azam Fc)
5:Shomari Kapombe (Simba Sc)
6:Mohamed Hussein (Simba Sc)
7:Paschal Msindo (Azam Fc)
8:David Bryson (Jkt Tanzania)
9:Ibrahim Hamad (Young Africans)
10:Dickson Job (Young Africans)
11:Ibrahim Ame (Mashujaa Fc)
12:Abdulrazack Hamza (Simba Sc)
13:Adolf Mtasingwa (Azam Fc)
VIUNGO
14:Novatus Dismas (Goztepe, Uturuki)
15:Habib Khalid (Singida Black Stars)
16:Mudathir Yahya (Young Africans)
17:Feisal Salum (Azam Fc)
WASHAMBULIAJI
18:Mbwana Samatta (Paok Fc, Ugiriki)
19:Clement Mzize (Young Africans)
20:Kibu Dennis (Simba Sc)
21:Simon Msuva (Al-talaba, Iraq)
22:Idd Nado (Azam Fc)
23:Ismail Mgunda (Mashujaa Fc) 24:Abdulkarim Kiswanya (Azam Fc U20)
25:Cyprian Kachwele (vancouver Whitecaps, Canada)
26:Nasoro Saadun (Azam Fc)
Kocha Mkuu: Hemed Suleiman

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.
Tags: 26 Waitwa Tanzania dhidi ya Ethiopia na Guinea Kufuzu AFCON 2025