23 Waitwa Twiga Stars Kujiandaa na Morocco na Senegal
KOCHA Mkuu wa Timu ya Taifa ya Wanawake ya Tanzania (Twiga Stars) Bakari Shime ameita jumla ya wachezaji 23 kuunda kikosi hicho kitakachoingia Kambini kwaajili ya mechi mbili za kirafiki dhidi ya Morocco na Senega mwezi huu.
Orodha Kamili ya Wachezaji 23 walioitwa Kambini Kujiandaa na Mechi hizo za Kirafiki kwenye Kalenda ya FIFA ni Kama ifuatavyo;
- Najat Abasi – JKT Queens.
- Asha Mrisho – Amani Queens.
- Janet Shija – Simba Queens.
- Lidya Maximilian – JKT Queens.
- Noela Luhala – ASA Tel Aviv, Israel.
- Enekia Kasonga – Mazatlanfemeneil, Mexico.
- Melikia William – Bunda Queens.
- Julietha Singani – Juarez, Israel.
- Vaileth Nicholaus – Simba Queens.
- Ester Maseke – Bunda Queens.
- Christer Bahera – JKT Queens.
- Maimuna Kaimu – ZED FC, Misri.
- Suzan Adam – Tuthankhamun, Misri.
- Crala Luvanga – Al Nasr FC, Saudi Arabia.
- Stumai Abdallah – JKT Queens.
- Husnat Hubamba – FC Masar, Misri.
- Victoria Masele – Bunda Queens.
- Diana Lucas – Ame S.F.K, Uturuki.
- Malaika Meema – Wake Forest, Marekani.
- Asha Masaka – Brighton, Uingereza.
- Winfrida Gerald – JKT Queens.
- Yasinta Mitoga – JKT Queens.
- Opa Clement – Henan FC, China.

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.
Post Views: 97