Karibu Nijuze Habari Blog, chanzo chako kikuu cha habari zote ndani na nje ya nchi.
Nijuze Habari Blog tumejitolea kukupa habari bora zaidi, tukitilia mkazo habari za
Michezo, Ajira, Magazeti, Matokeo, Selection,
Interview, Internship pamoja na Makala Mbalimbali.
23 Waitwa Tanzania vs DR Congo Kufuzu AFCON 2025
Kikosi cha Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) kitakachoingia kambini kujiandaa na michezo miwili ya kufuzu
AFCON 2025 dhidi ya DR Congo Oktoba 10, 2024 na Oktoba 15, 2024.
Katika Kikosi cha Wachezaji 23 walioitwa, Novatus Dismas Miroshi hajajumuishwa kutokana na kuwa majeruhi.
Orodha Kamili ya Wachezaji 23 Walioitwa Kambini Kujiandaa na michezo hiyo miwili imeambatanishwa hapa chini;
MAKIPA
- Ally Salim – Simba SC.
- zuberi Foba – Azam FC.
- Yona Amos – Pamba Jiji.
MABEKI
- Lusajo Mwaikenda – Azam FC.
- Mohamed Hussein – Simba SC.
- Paschal Msindo – Azam FC.
- Ibrahim Abdallah – Young Africans.
- Dickson Job – Young Africans
- Abdulrazack Hamza – Simba SC – Ibrahim Ame – Mashujaa FC.
- Bakari Mwamnyeto – Young Africans.
- Adolf Mtasingwa – Azam FC.
- Haji Mnoga – Salford City, England.
VIUNGO
- Habibu Khalid – Singida Black Stars.
- Himid Mao – Talaal El Geish, Egypt.
- Mudathir Yahya – Young Africans.
- Suleiman Mwalimu – Fountain Gate.
- Feisal Salum – Azam FC.
- Cyprian Kachwele – Vancouver Whitecaps, Canada.
WASHAMBULIAJI
- Abdallah Said – KMC FC.
- Nassor Saadun – Azam FC.
- Kibu Denis – Simba SC.
- Clement Mzize – Young Africans.
- Mbwana Samatta – PAOK FC, Greece.
KOCHA MKUU: HEMED SULEIMAN.
Kocha, Hemed Suleiman amemuongeza beki Ame Ibrahim wa Mashujaa ya Kigoma kujiandaa na michezo ya kufuzu AFCON dhidi ya DR Congo, akichukuwa nafasi ya Abdulrazack Hamza ambaye ni majeruhi.

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.
Post Views: 69