Michezo

RATIBA ya Mechi za Leo Ijumaa 24 January 2025

RATIBA ya Mechi za Leo Ijumaa 24 January 2025

RATIBA ya Mechi za Leo Ijumaa 24 January 2025 Tanzania – NBC Championship 16:00 Mbeya Kwanza vs Songea United 16:00 African Sports vs Cosmopolitan 16:00 Green Warriors vs Mtibwa Sugar Spain – Laliga 23:00 Las Palmas vs Osasuna Germany – Bundesliga 22:30 Wolfsburg vs Holstein Kiel Italy – Serie A 22:45 Torino vs Cagliari France […]

Filed in Michezo by on 24/01/2025 0 Comments
SIMBA yapiga hodi Uhamiaji Kuombea Uraia Wachezaji Wake

SIMBA yapiga hodi Uhamiaji Kuombea Uraia Wachezaji Wake

SIMBA yapiga hodi Uhamiaji Kuombea Uraia Wachezaji Wake Klabu ya Simba SC Tanzania imeandika barua kwa Kamishina Jenerali wa Uhamiaji nchini ikiwaombea uraia wa Tanzania wachezaji wake 9 Kati ya 12 ambao imewasijili kwa mujibu wa kanuni za Ligi Kuu ya Bara. Kupitia Barua iliyosainiwa na Mwenyekiti wa Klabu hiyo, Mrutaza Mangungu imesema kuwa; Kwa […]

Filed in Michezo by on 24/01/2025 0 Comments
UHAMIAJI Yatoa Ufafanuzi Wachezaji wa Singida BS kupewa Uraia wa Tanzania

UHAMIAJI Yatoa Ufafanuzi Wachezaji wa Singida BS kupewa Uraia wa Tanzania

UHAMIAJI Yatoa Ufafanuzi Wachezaji wa Singida BS kupewa Uraia wa Tanzania Idara ya Uhamiaji ya Tanzania imethibitisha kuwa Wachezaji watatu wanaocheza Katika Klabu ya Singida Black Stars, Emmanuel Kwame Keyekeh (Ghana), Josephat Arthur Bada (Ivory Coast) na Mohamed Damaro Camara (Guinea) kupewa uraia wa Tanzania. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Idara ya Uhamiaji January […]

Filed in Michezo by on 23/01/2025 0 Comments
RATIBA ya Mechi za Leo Alhamisi 23 January 2025

RATIBA ya Mechi za Leo Alhamisi 23 January 2025

RATIBA ya Mechi za Leo Alhamisi 23 January 2025 UEFA Europa League – League Stage 20:45 AZ Alkmaar vs AS Roma 20:45 Bodoe/Glimt vs Maccabi Tel Aviv 20:45 FC Porto vs Olympiacos 20:45 Fenerbahce vs Lyon 20:45 Hoffenheim vs Tottenham Hotspur 20:45 Malmo FF vs FC Twente 20:45 Qarabag FK vs FCSB 20:45 Viktoria Plzen […]

Filed in Michezo by on 23/01/2025 0 Comments
MSIMAMO Ligi Kuu ya Wanawake (TWPL) 2024/2025

MSIMAMO Ligi Kuu ya Wanawake (TWPL) 2024/2025

MSIMAMO Ligi Kuu ya Wanawake (TWPL) 2024/2025 Tanzania Women’s Premier League 2024/2025, Msimamo wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania (TWPL) 2024/2025. Msimamo wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania (TWPL) hadi Leo tarehe 22 January 2025.

Filed in Michezo by on 23/01/2025
AMAS Obasogie Golikipa Mpya wa Yanga

AMAS Obasogie Golikipa Mpya wa Yanga

AMAS Obasogie Golikipa Mpya wa Yanga klabu ya Singida Black Stars imetangaza Kukamilisha usajili golikipa, Amas Obasogie mwenye umri wa miaka 22 raia wa Nigeria Kutoka Fasil Kenema ya Ethiopia. Baada ya utambulisho hu Singida Black Stars ilithibitisha kumsajili kipa huyo kwa makuliano maalum na klabu ya Young Africans. Afisa Habari wa Klabu hiyo, Hussein […]

Filed in Michezo by on 23/01/2025 0 Comments
RATIBA ya Mechi Za Simba SC Zilizobaki 2024/2025

RATIBA ya Mechi Za Simba SC Zilizobaki 2024/2025

RATIBA ya Mechi Za Simba SC Zilizobaki 2024/2025 02 February 2025 16:00 Tabora United vs Simba SC 06 February 2025 16:15 Fountain Gate vs Simba SC 11 February 2025 16:00 Simba SC vs Tanzania Prisons 15 February 2025 16:15 Simba SC vs Dodoma Jiji FC 19 February 2025 18:30 Namungo FC vs Simba SC 24 […]

Filed in Michezo by on 23/01/2025 0 Comments
MATOKEO Yanga vs Copco FC 25 January 2025

MATOKEO Yanga vs Copco FC 25 January 2025

MATOKEO Yanga vs Copco FC 25 January 2025 Yanga inatarajiwa kucheza mchezo unaofuata dhidi Copco FC ukiwa ni mchezo wa raundi ya tatu wa CRDB Bank Federation Cup 2024/2025. Mchezo huo utapigwa tarehe 25 January 2025 kwenye Uwanja wa KMC Complex Jijini Dar Es Salaam Kuanzia saa 10:00 jioni. Kuelekea mchezo huo, Nijuze Habari itakuletea […]

Filed in Michezo by on 21/01/2025 0 Comments
KIKOSI Cha Yanga vs Copco FC Leo 25 January 2025

KIKOSI Cha Yanga vs Copco FC Leo 25 January 2025

KIKOSI Cha Yanga vs Copco FC Leo 25 January 2025 Klabu ya Young Africans itacheza mchezo wake unaofuata dhidi ya Copco FC tarehe 25 January 2025 Mchezo huo wa raundi ya tatu Michuano ya CRDB Bank Confederation Cup 2024/205 utapigwa Kuanzia Saa 10:00 Jioni kwenye Uwanja wa KMC Complex, Jijini Dar Es Salaam. Kuelekea mchezo […]

Filed in Michezo by on 21/01/2025 0 Comments
RATIBA ya Mechi za Leo Jumanne 21 January 2025

RATIBA ya Mechi za Leo Jumanne 21 January 2025

RATIBA ya Mechi za Leo Jumanne 21 January 2025 UEFA Champions League – League Stage 20:45 AS Monaco vs Aston Villa 20:45 Atalanta vs Sturm Graz 23:00 Atletico Madrid vs Bayer Leverkusen 23:00 Benfica vs Barcelona 23:00 Bologna vs Borussia Dortmund 23:00 Club Brugge vs Juventus 23:00 FK Crvena Zvezda vs PSV Eindhoven 23:00 Liverpool […]

Filed in Michezo by on 21/01/2025 0 Comments

Nafasi za Kazi

NAFASI Za Kazi TANROADS Pwani

NAFASI Za Kazi TANROADS Pwani

NAFASI Za Kazi TANROADS Pwani Tanzania National Roads Agency (TANROADS) is vested with the responsibility of Maintenance and Development of the Trunk and Regional Roads Network in Tanzania Mainland. It is also responsible in conducting Axle Load Control Operations using weighbridge scales. The Regional Manager TANROADS Coast on behalf of the Chief Executive TANROADS is […]

Filed in Ajira by on 24/01/2025 0 Comments
NAFASI za Kazi Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Arusha – Mount Meru

NAFASI za Kazi Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Arusha – Mount Meru

NAFASI za Kazi Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Arusha – Mount Meru Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Arusha – Mt. Meru anapenda kuwatangazia Watanzania wote wenye sifa zinazohitajika na wenye nia ya kufanya kazi katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Arusha – Mt. Meru kuwasilisha maombi yao. ✅DAKTARI BINGWA […]

Filed in Ajira by on 24/01/2025 0 Comments
NAFASI za Kazi DCB Commercial Bank PLC

NAFASI za Kazi DCB Commercial Bank PLC

NAFASI za Kazi DCB Commercial Bank PLC Position: Senior Manager, Credit Risk Background DCB Commercial Bank Plc is a fully-fledged retail and commercial bank in Tanzania. The bank offers banking services to Individuals, Microfinance, Small to Medium sized Businesses (MSME), as well as large corporate clients. DCB Bank has a wide branch network of over […]

Filed in Ajira by on 24/01/2025 0 Comments
NAFASI za Kazi Serengeti Breweries Limited

NAFASI za Kazi Serengeti Breweries Limited

NAFASI za Kazi Serengeti Breweries Limited Position: Regional Agribusiness Manager-Zone 3 Job Posting Start Date: 21-01-2025 Job Description  From Arthur Guinness to Johnnie Walker, our business was founded on people of great character, and in 250 years, nothing has changed. We’re the world’s leading premium alcohol company. Our brands are industry icons. And our success […]

Filed in Ajira by on 22/01/2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Chama Kikuu Cha Ushirika LATCU Ltd

NAFASI Za Kazi Chama Kikuu Cha Ushirika LATCU Ltd

NAFASI Za Kazi Chama Kikuu Cha Ushirika LATCU Ltd Lake Tanganyika Co-operative Union Limited (LATCU Ltd) with registration number AFF-KTV-MPN-MC-2023-93 was incorporated in Tanzania in 1994 under the Co- operative Societies Act No.15 of 1991. LATCU Ltd is currently operating under the Co-operative Societies Act No. 06 of 2013. The Union is domiciled and operates […]

Filed in Ajira by on 22/01/2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Mbeya District Council

NAFASI Za Kazi Mbeya District Council

NAFASI Za Kazi Mbeya District Council Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya anapenda kuwatangazia Watanzania wote kuwa Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya imekusudia kuajiri watumishi wa Mkataba wa kazi ya Muda (Kibarua) kama ifuatayo:- ✅AFISA HESABU DARAJA LA II – NAFASI 3 KAZI ZA KUFANYA kushiriki kuandika taarifa ya mapato na matumizi Kushiriki […]

Filed in Ajira by on 21/01/2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi Jema Africa Ltd

NAFASI Za Kazi Jema Africa Ltd

NAFASI Za Kazi Jema Africa Ltd ✅Position: Sales & Marketing Officer (Automotive Business) Key Responsibilities: Develop and execute sales and marketing strategies to increase vehicle sales and brand visibility. Identify new business opportunities and partnerships to expand the customer base. Provide support in Managing  digital marketing campaigns, including social media, email marketing, and website updates. Conduct market research to […]

Filed in Ajira by on 21/01/2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi CVPeople Tanzania

NAFASI Za Kazi CVPeople Tanzania

NAFASI Za Kazi CVPeople Tanzania CVPeople Tanzania ilianza mwaka 2014 kwa bajeti ya muda mfupi ambapo ilikuwa sehemu ya biashara ya kimataifa inayojulikana kama CVPeople Africa. CVpeople Tanzania inatoa huduma za Vipaji na Kuajiri. Baada ya kuwa sehemu ya franchise kwa zaidi ya miaka 6, CVPeople Tanzania ilimaliza ushirikiano wake na CVPeople Africa na sasa […]

Filed in Ajira by on 21/01/2025
NAFASI za Kazi Exim Bank Tanzania PLC

NAFASI za Kazi Exim Bank Tanzania PLC

NAFASI za Kazi Exim Bank Tanzania PLC Benki ya Exim (Tanzania) (EBT), ni benki ya biashara nchini Tanzania, ya pili kwa uchumi mkubwa katika Jumuiya ya Afrika Mashariki. Benki hiyo imepewa leseni na Benki Kuu ya Tanzania, ambayo ni benki kuu ya nchi na mdhibiti wa benki wa kitaifa. Benki hiyo inawaalika watu wenye sifa […]

Filed in Ajira by on 21/01/2025
NAFASI Za Kazi Chuo Cha Ustawi wa Jamii

NAFASI Za Kazi Chuo Cha Ustawi wa Jamii

NAFASI Za Kazi Chuo Cha Ustawi wa Jamii ✅Position: Personal Secretary I (1 Post) – Kisangara Campus Qualifications and Experience: Applicants must hold a Form VI or Form IV Certificate with secretarial qualifications. They should have at least four years of experience in secretarial duties. Duties and Responsibilities: Performing secretarial duties, handling office communications, arranging meetings, […]

Filed in Ajira by on 21/01/2025 0 Comments

Magazeti

MAGAZETI ya Tanzania Leo Ijumaa 24 January 2025

MAGAZETI ya Tanzania Leo Ijumaa 24 January 2025

MAGAZETI ya Tanzania Leo Ijumaa 24 January 2025 Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema maeneo yanayopata mvua za chini ya wastani hadi juu ya wastani yanatarajiwa kuwa na matukio ya hali mbaya ya hewa, kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa. MATOKEO Kidato Cha Nne 2024 TMA imesema vipindi vya mvua kubwa vinatarajiwa […]

Filed in Magazeti by on 24/01/2025 0 Comments
MAGAZETI ya Tanzania Leo Alhamisi 23 January 2025

MAGAZETI ya Tanzania Leo Alhamisi 23 January 2025

MAGAZETI ya Tanzania Leo Alhamisi 23 January 2025 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amesema Jeshi la Polisi litaendelea kutekeleza jukumu lake la kikatiba kwa kusimamia usalama katika mikutano na shughuli za vyama vya siasa bila kujali itikadi ya chama chochote. Bashungwa amelipongeza jeshi hilo kwa kusimamia ulinzi na usalama kwa weledi […]

Filed in Magazeti by on 22/01/2025 0 Comments
MAGAZETI ya Tanzania Leo Jumatano 22 January 2025

MAGAZETI ya Tanzania Leo Jumatano 22 January 2025

MAGAZETI ya Tanzania Leo Jumatano 22 January 2025 Rais wa Marekani, Donald Trump, amesaini amri kadhaa za kiutendaji baada ya kuapishwa, ikiwemo kufuta haki ya uraia wa kuzaliwa kwa watoto wa wahamiaji haramu na wenye viza za muda. Uamuzi huu umebadilisha tafsiri ya muda mrefu ya marekebisho ya 14 ya Katiba ya Marekani, ambayo yalikuwa […]

Filed in Magazeti by on 22/01/2025 0 Comments
MAGAZETI ya Tanzania Leo Jumanne 21 January 2025

MAGAZETI ya Tanzania Leo Jumanne 21 January 2025

MAGAZETI ya Tanzania Leo Jumanne 21 January 2025 Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani linamshikilia mtu mmoja kwa tuhuma ya kusambaza video za utupu maarufu ‘connection’ zinazodaiwa kuwa za wanafunzi wa Shule ya Sekondari Baobab. Hayo yamesemwa Jumatatu ya January 20, 2025 na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Salim Morcase, alipokuwa akizungumza na waandishi […]

Filed in Magazeti by on 21/01/2025 0 Comments
MAGAZETI ya Tanzania Leo Jumatatu 20 January 2025

MAGAZETI ya Tanzania Leo Jumatatu 20 January 2025

MAGAZETI ya Tanzania Leo Jumatatu 20 January 2025 Mtandao wa TikTok umeacha kufanya kazi nchini Marekani, saa chache kabla ya sheria mpya inayopiga marufuku mtandao huo kuanza kutekelezwa. Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Uingereza (BBC), mtandao huo umepigwa marufuku kutokana na wasiwasi kuhusu uhusiano wake na Serikali ya China na ilipewa tarehe ya […]

Filed in Magazeti by on 19/01/2025 0 Comments
MAGAZETI ya Tanzania Leo Jumapili 19 January 2025

MAGAZETI ya Tanzania Leo Jumapili 19 January 2025

MAGAZETI ya Tanzania Leo Jumapili 19 January 2025 Baada ya kushindwa kutinga robo Fainali, Klabu Young Africans imekosa kiasi cha Dola 900,000 (Sh2.3 bilioni) ambacho kila timu inayotinga hatua hiyo inajihakikishia kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF). Yanga imeshindwa kufuzu hatua hiyo msimu huu baada ya kulazimishwa sare ya 0-0 na MC Alger […]

Filed in Magazeti by on 19/01/2025 0 Comments
MAGAZETI ya Tanzania Leo Jumamosi 18 January 2025

MAGAZETI ya Tanzania Leo Jumamosi 18 January 2025

MAGAZETI ya Tanzania Leo Jumamosi 18 January 2025 Rais Samia Suluhu Hassan amemhamisha Dk Seif Shekalaghe kutoka Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu kwenda kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya. Aidha, amemhamisha Dk John Jingu kutoka Wizara ya Afya kwenda kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, […]

Filed in Magazeti by on 18/01/2025 0 Comments

Kuitwa Kazini

MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI 24 January 2025

MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI 24 January 2025

MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI 24 January 2025 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 02-10-2024 na tarehe 17-12-2024 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya […]

Filed in Kuitwa Kazini by on 24/01/2025 0 Comments
MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI 22 January 2025

MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI 22 January 2025

MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI 22 January 2025 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 25-05-2024 na tarehe 19-12-2024 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya […]

Filed in Kuitwa Kazini by on 22/01/2025 0 Comments
Walioitwa Kwenye Mafunzo/Kazini Ajira za INEC 2024/2025

Walioitwa Kwenye Mafunzo/Kazini Ajira za INEC 2024/2025

WALIOITWA Kwenye Mafunzo/Kazini Ajira za INEC 2024/2025 Majina ya Walioitwa Kwenye Mafunzo Ajira za INEC 2024/2025, Majina ya Walioitwa Kazini Ajira za NEC 2024/2025. Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi inaendelea na mchakato wa uboreshaji wa Daftari la kudumu la Wapiga Kura Kwa mujibu wa Sheria ya Uchaguzi ya mwaka 2024. Kutokana na hilo Nijuze […]

Filed in Kuitwa Kazini by on 16/01/2025
MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI 15 January 2025

MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI 15 January 2025

MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI 15 January 2025 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 27-04-2024 na tarehe 18-12-2024 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya […]

Filed in Kuitwa Kazini by on 15/01/2025 0 Comments
MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI Leo 14 January 2025

MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI Leo 14 January 2025

MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI Leo 14 January 2025 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 14-06-2023 na tarehe 18-12-2024 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi […]

Filed in Kuitwa Kazini by on 14/01/2025 0 Comments
MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI 10 January 2025

MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI 10 January 2025

MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI 10 January 2025 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 20-01-2024 na tarehe 18-12-2024 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya […]

Filed in Kuitwa Kazini by on 10/01/2025 0 Comments
MAJINA ya Walioitwa Kazini Mafia District Council na Shirika la Uvuvi

MAJINA ya Walioitwa Kazini Mafia District Council na Shirika la Uvuvi

MAJINA ya Walioitwa Kazini Mafia District Council na Shirika la Uvuvi Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 10-09-2024 na tarehe 13-11-2024 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia […]

Filed in Kuitwa Kazini by on 08/01/2025
MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI 08 January 2025

MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI 08 January 2025

MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI 08 January 2025 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 27-04-2024 na tarehe 13-11-2024 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya […]

Filed in Kuitwa Kazini by on 08/01/2025
MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI 04 January 2024

MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI 04 January 2024

MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI 04 January 2024 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 24-02-2024 na tarehe 18-11-2024 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya […]

Filed in Kuitwa Kazini by on 04/01/2025
MAJINA 500 ya Waliopangiwa Vituo vya Kazi Bodi ya Korosho Tanzania

MAJINA 500 ya Waliopangiwa Vituo vya Kazi Bodi ya Korosho Tanzania

MAJINA 500 ya Waliopangiwa Vituo vya Kazi Bodi ya Korosho Tanzania Vituo vya Kazi vya Maafisa Ugani Kilimo Vijana 500 Kwaajili ya Programu Maalum ya Kuendeleza zao La Korosho nchini kwa Mwaka 2024/2025. Tarehe ya Kuripoti Kituo cha Mafunzo ni tarehe 13 Januari, 2025 Saa 2:00 asubuhi. BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA MAJINA

Filed in Kuitwa Kazini by on 01/01/2025

Kuitwa kwenye Usaili

LIGI Kuu ya NBC ya 4 Kwa Ubora Afrika 2024

LIGI Kuu ya NBC ya 4 Kwa Ubora Afrika 2024

LIGI Kuu ya NBC ya 4 Kwa Ubora Afrika 2024 Ligi Kuu ya Tanzania imetajwa kuwa ya nne kwa ubora Afrika na ya 57 duniani kwa mwaka 2024 ikiipiku Ligi ya Afrika Kusini na Tunisia. Kwa mujibu wa Shirikisho la Kimataifa la Historia na Takwimu za Mpira wa Miguu (IFFHS) limeitangaza Ligi Kuu ya Tanzania […]

Filed in Usaili by on 24/01/2025 0 Comments
MABADILIKO ya Eneo la Kufanyia Usaili wa Mahojiano Mwalimu Daraja la IIIB na Daraja la IIIA Elimu ya Awali Mkoa wa Tabora

MABADILIKO ya Eneo la Kufanyia Usaili wa Mahojiano Mwalimu Daraja la IIIB na Daraja la IIIA Elimu ya Awali Mkoa wa Tabora

MABADILIKO ya Eneo la Kufanyia Usaili wa Mahojiano Mwalimu Daraja la IIIB na Daraja la IIIA Elimu ya Awali Mkoa wa Tabora MABADILIKO YA ENEO LA KUFANYIA USAILI WA MAHOJIANO MWALIMU DARAJA LA IIIB NA DARAJA LA IIIA ELIMU YA AWALI MKOA WA TABORA Waombaji kazi wote wa Kada ya Mwalimu Daraja IIIB (Kemia, Baiolojia, […]

Filed in Usaili by on 23/01/2025 0 Comments
MATOKEO ya Usaili Wa Kuandika Mwalimu Daraja la IIIB (KEMIA, Baiolojia,Tehama, Jiografia) na Mwalimu Daraja la IIIA Elimu ya Awali

MATOKEO ya Usaili Wa Kuandika Mwalimu Daraja la IIIB (KEMIA, Baiolojia,Tehama, Jiografia) na Mwalimu Daraja la IIIA Elimu ya Awali

MATOKEO ya Usaili Wa Kuandika Mwalimu Daraja la IIIB (KEMIA, Baiolojia,Tehama, Jiografia) na Mwalimu Daraja la IIIA Elimu ya Awali MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA MWALIMU DARAJA LA IIIB (KEMIA, BAIOLOJIA,TEHAMA, JIOGRAFIA) NA MWALIMU DARAJA LA IIIA ELIMU YA AWALI ULIOFANYIKA TAREHE 22/01/2025 Wasailiwa wote waliochaguliwa (SELECTED) wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili. Wasailiwa […]

Filed in Usaili by on 23/01/2025 0 Comments
MABADILIKO ya Eneo la Kufanyia Usaili wa Mahojiano Mwalimu Daraja la Iiia Mkoa wa Dodoma

MABADILIKO ya Eneo la Kufanyia Usaili wa Mahojiano Mwalimu Daraja la Iiia Mkoa wa Dodoma

MABADILIKO ya Eneo la Kufanyia Usaili wa Mahojiano Mwalimu Daraja la Iiia Mkoa wa Dodoma Waombaji kazi wote wa Kada ya MWALIMU DARAJA IIIA walioitwa kwenye usaili wa Mahojiano ya tarehe 21.01.2025 Mkoa wa Dodoma mnajulishwa kuwa kuna mabadiliko ya mahali pa kufanyia usaili wa Mahojiano. MABADILIKO YA ENEO LA USAILI- DODOMA

Filed in Usaili by on 20/01/2025 0 Comments
MABADILIKO ya Eneo la Kufanyia Usaili Mkoa wa Shinyanga

MABADILIKO ya Eneo la Kufanyia Usaili Mkoa wa Shinyanga

MABADILIKO ya Eneo la Kufanyia Usaili Mkoa wa Shinyanga Waombaji kazi wote wa Kada za ualimu walioitwa kwenye usaili Mkoa wa Shinyanga mnajulishwa kuwa kuna mabadiliko ya mahali pa kufanyia usaili wa kuandika pamoja na usaili wa mahojiano MABADILIKO ENEO LA USAILI SHINYANGA

Filed in Usaili by on 20/01/2025 0 Comments
MABADILIKO ya Eneo la Kufanyia Usaili wa Mahojiano Mwalimu Daraja la IIIA Mkoa Wa Tabora

MABADILIKO ya Eneo la Kufanyia Usaili wa Mahojiano Mwalimu Daraja la IIIA Mkoa Wa Tabora

MABADILIKO ya Eneo la Kufanyia Usaili wa Mahojiano Mwalimu Daraja la IIIA Mkoa Wa Tabora Waombaji kazi wote wa Kada ya MWALIMU DARAJA IIIA walioitwa kwenye usaili wa Mahojiano ya tarehe 21.01.2025 Mkoa wa Tabora mnajulishwa kuwa kuna mabadiliko ya mahali pa kufanyia usaili wa Mahojiano. Usaili wa Mahojiano utafanyika Chuo cha Utumishi wa Umma […]

Filed in Usaili by on 20/01/2025 0 Comments
MATOKEO ya Usaili Wa Kuandika Mwalimu Daraja la IIIA

MATOKEO ya Usaili Wa Kuandika Mwalimu Daraja la IIIA

MATOKEO ya Usaili Wa Kuandika Mwalimu Daraja la IIIA MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA MWALIMU DARAJA LA IIIA ULIOFANYIKA TAREHE 18/01/2025 Wasailiwa wote waliochaguliwa (SELECTED) wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili. Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates) Wasailiwa wote wanatakiwa kufika na vitambulisho vyao. MWALIMU DARAJA LA IIIA

Filed in Usaili by on 19/01/2025 2 Comments
MAJINA na Mikoa ya Usaili kwa Wasailiwa wa Kada ya Fundi Sanifu Maabara ya Shule Daraja la II

MAJINA na Mikoa ya Usaili kwa Wasailiwa wa Kada ya Fundi Sanifu Maabara ya Shule Daraja la II

MAJINA na Mikoa ya Usaili kwa Wasailiwa wa Kada ya Fundi Sanifu Maabara ya Shule Daraja la II MAJINA NA MIKOA YA USAILI KWA WASAILIWA WA KADA YA FUNDI SANIFU MAABARA YA SHULE DARAJA LA II (SCHOOL LABORATORY TECHNICIAN II) UTAKAOFANYIKA TAREHE 16/01/2025. BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA MAJINA

Filed in Usaili by on 14/01/2025 0 Comments
NYARAKA Muhimu Kwenda nazo Kwenye Usaili Kada ya Ualimu

NYARAKA Muhimu Kwenda nazo Kwenye Usaili Kada ya Ualimu

NYARAKA Muhimu Kwenda nazo Kwenye Usaili Kada ya Ualimu Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma, imebainisha Nyaraka muhimu ambazo walioitwa kwenye usaili Katika Kada ya Ualimu wanapaswa kwenda nazo. Usaili wa Ualimu utafanyika kuanzia tarehe 14 January hadi terehe 24 February, 2025 na usaili huo utaendeshwa na Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika […]

Filed in Usaili by on 13/01/2025 0 Comments
MATOKEO ya Usaili wa Vitendo Mwandishi Mwendesha Ofisi Daraja la II

MATOKEO ya Usaili wa Vitendo Mwandishi Mwendesha Ofisi Daraja la II

MATOKEO ya Usaili wa Vitendo Mwandishi Mwendesha Ofisi Daraja la II Wasailiwa wote waliochaguliwa (SELECTED) wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili. Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates) Wasailiwa wote wanatakiwa kufika na vitambulisho vyao. MATOKEO YA USAILI WA VITENDO MWANDISHI MWENDESHA OFISI DARAJA LA II ULIOFANYIKA TAREHE 11/01/2025

Filed in Usaili by on 12/01/2025 0 Comments

Elimu

SHULE 10 Bora Kwa GPA Matokeo ya Kidato Cha Nne 2024

SHULE 10 Bora Kwa GPA Matokeo ya Kidato Cha Nne 2024

SHULE 10 Bora Kwa GPA Matokeo ya Kidato Cha Nne 2024 Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha nne uliofanyika kuanzia November 11 hadi 29, 2024 huku matokeo ya wanafunzi 67 wakiwemo watano walioandika matusi yakifutwa. Matokeo hayo yametangazwa Alhamisi Januari 23, 2025 na Katibu Mtendaji wa Necta, Dk Said […]

Filed in Education by on 24/01/2025 0 Comments
459 Waliozuiliwa Matokeo Kidato cha Nne 2024 Kurudia Mtihani

459 Waliozuiliwa Matokeo Kidato cha Nne 2024 Kurudia Mtihani

459 Waliozuiliwa Matokeo Kidato cha Nne 2024 Kurudia Mtihani Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) limezuia matokeo ya Wanafunzi 459 wa Kidato cha Nne 2024 kwa sababu mbalimbali zilizosababisha wasifanye mitihani yote. Hata hivyo wanafunzi hao wamepewa fursa ya kurudia mitihani ya kidato cha Nne mwaka huu 2025. MATOKEO KIDATO CHA NNE 2024 Katibu Mtendaji wa […]

Filed in Education by on 23/01/2025 0 Comments
MATOKEO Kidato Cha Nne 2024

MATOKEO Kidato Cha Nne 2024

MATOKEO Kidato Cha Nne 2024 Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limesema kati ya watahiniwa 477,262 waliofaulu mtihani wa Kidato cha Nne, wasichana ni 249,078 sawa na asilimia 52, na wavulana ni 228,184 sawa na asilimia 48. Aidha, limesema kwa kuangalia ubora wa ufaulu wa jinsi, kwa kuzingatia ufaulu wa madaraja ya I-III, wavulana ni […]

Filed in Education by on 23/01/2025
RATIBA ya Mtihani wa Darasa la Saba 2025

RATIBA ya Mtihani wa Darasa la Saba 2025

RATIBA ya Mtihani wa Darasa la Saba 2025 RATIBA YA MTIHANI WA KUMALIZA ELIMU YA MSINGI (PRIMARY SCHOOL LEAVING EXAMINATION TIMETABLE) SEPTEMBA, 2025 PSLE 2025 EXAM TIMETABLE RATIBA YA MTIHANI WA DARASA LA SABA 2025 MAELEKEZO MUHIMU Hakikisha kuwa unayo Ratiba ya Mtihani ya mwaka 2025 iliyoandaliwa na Baraza la Mitihani la Tanzania. Hakikisha kwamba […]

Filed in Education by on 23/01/2025 0 Comments
NAFASI za Ufadhili wa Masomo MUHAS 2025

NAFASI za Ufadhili wa Masomo MUHAS 2025

NAFASI za Ufadhili wa Masomo MUHAS 2025 Muhimbili University of Health and Allied Sciences in collaboration with Swedish International Development Cooperation Agency (Sida) A call for PhD Scholarship Applications Background: The Muhimbili University of Health and Allied Sciences (MUHAS) has been awarded a six-year (2024-2030) grant, from the Government of Sweden through its Swedish International […]

Filed in Education by on 22/01/2025 0 Comments
MATOKEO ya Darasa la Nne 2024 Zanzibar

MATOKEO ya Darasa la Nne 2024 Zanzibar

MATOKEO ya Darasa la Nne 2024 Zanzibar Baraza la Mitihani la Zanzibar linapenda kuujulisha umma kuwa Matokeo ya Mitihani ya Taifa ya Darasa la Nne ya Mwaka 2024 tayari yametangazwa. BARAZA LA MITIHANI LA ZANZIBAR EXAMINATIONS RESULT STANDARD FOUR 2024 BONYEZA HAPA KUTAZAMA MATOKEO YA DARASA LA NNE 2024 ZANZIBAR Aidha, kwa mzazi, Mwalimu au […]

Filed in Education by on 22/01/2025 0 Comments
MATOKEO ya Kidato Cha Pili Zanzibar 2024

MATOKEO ya Kidato Cha Pili Zanzibar 2024

MATOKEO ya Kidato Cha Pili Zanzibar 2024 Baraza la Mitihani la Zanzibar linapenda kuujulisha umma kuwa Matokeo ya Mitihani ya Taifa ya Kidato Cha Pili ya Mwaka 2024 tayari yametangazwa. BARAZA LA MITIHANI LA ZANZIBAR EXAMINATIONS RESULT FORM TWO 2024 BONYEZA HAPA KUTAZAMA MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2024 ZANZIBAR Aidha, kwa mzazi, Mwalimu au […]

Filed in Education by on 22/01/2025 0 Comments

Makala

AINA 3 za Uraia wa Tanzania

AINA 3 za Uraia wa Tanzania

AINA 3 za Uraia wa Tanzania Uraia wa Tanzania unatawaliwa na Sheria ya Uraia wa Tanzania, Sura ya 357 (Toleo Lililorekebishwa la 2002) na Kanuni zake za 1997. Kuna aina tatu za uraia ambazo ni: 1. Uraia kwa Kuzaliwa. Mtu yeyote aliyezaliwa katika Jamhuri ya Muungano siku ya au baada ya Muungano atahesabiwa kuwa ni […]

Filed in Makala by on 23/01/2025 0 Comments
NGAZI ya Mishahara ya Watumishi wa Serikali Tanzania

NGAZI ya Mishahara ya Watumishi wa Serikali Tanzania

Ngazi ya Mishahara ya WATUMISHI wa Serikali ya Tanzania,Tanzania Government Public Servant Salary Scales, New pay scales were established by the government, Viwango vya Mishahara ya WATUMISHI Serikalini. Mfumo wa malipo pamoja na madaraja UTUMISHI, kupitia Makala hii utaweza kuona viwango vya malipo kwa kila daraja ambavyo huamuliwa na serikali Kuu ya Tanzania. Ngazi za […]

Filed in Makala by on 23/01/2025 0 Comments
MISHAHARA ya Watumishi wa Serikali

MISHAHARA ya Watumishi wa Serikali

MISHAHARA ya Watumishi wa Serikali Viwango vya Mshahara kwa Watumishi wa Umma Tanzania 2024,Viwango vipya Mishahara serikalini 2024/2025, Salary Scale Tanzania 2024/2025,Nafasi za kazi wizara ya elimu 2024. Serikali inaendelea kutekeleza Sera ya malipo ya Mshahara na Motisha katika Utumishi wa Umma ya Mwaka 2010. Katika hatua za kutimiza malengo ya Sera hii, Serikali imefanya […]

Filed in Makala by on 23/01/2025 0 Comments
VIWANGO Vya Mishahara ya Walimu

VIWANGO Vya Mishahara ya Walimu

VIWANGO Vya Mishahara ya Walimu Tume ya Utumishi wa Umma (Public Service Commission) ndiyo husimamia viwango vya mishahara ya Watumishi wa Umma, ikiwemo Kada ya Ualimu. Kila mwaka, viwango hivi vya mishahara hubadilishwa ili kukabiliana na changamoto za kiuchumi, mfumuko wa bei, na sera za serikali kuhusu maslahi ya watumishi. Hii inamaamisha kwamba mishahara ya […]

Filed in Makala by on 23/01/2025 0 Comments
UFAHAMU Ugonjwa wa Marburg na Jinsi ya Kujikinga

UFAHAMU Ugonjwa wa Marburg na Jinsi ya Kujikinga

UFAHAMU Ugonjwa wa Marburg na Jinsi ya Kujikinga FAHAMU JINSI UGONJWA WA MARBURG UNAVYOENEA Marburg ni Ugonjwa unaosababishwa na Virusi vya Marburg na unaambukizwa kwa haraka. Ugonjwa huu unaenea kwa njia zifuatazo; Kugusa Majimaji ya mwili kama vile; Kinyesi Matapishi Damu Mkojo na Jasho Kugusa vitu vilivyotumiwa na mtu mwenye ugonjwa wa Marburg mfano; Vyombo […]

Filed in Makala by on 21/01/2025 0 Comments
JINSI ya Kujaza Fomu ya Maombi ya Utambulisho wa Taifa

JINSI ya Kujaza Fomu ya Maombi ya Utambulisho wa Taifa

JINSI ya Kujaza Fomu ya Maombi ya Utambulisho wa Taifa Jaza fomu ya maombi ya Utambulisho wa Taifa Namba 1A kwa kalamu ya wino mweusi na kwa herufi kubwa. (Fomu inapatikana kwenye ofisi ya Usajili ya NIDA, Wilayani/Serikali ya Mtaa na kwenye tovuti yetu) Fomu ya maombi ya Utambulisho wa Taifa Namba 1A Hakikisha una […]

Filed in Makala by on 18/01/2025 0 Comments
JINSI ya Kupata Kitambulisho cha NIDA Kilichoharibika au Kupotea

JINSI ya Kupata Kitambulisho cha NIDA Kilichoharibika au Kupotea

JINSI ya Kupata Kitambulisho cha NIDA Kilichoharibika au Kupotea Jinsi ya Kuhuisha Taarifa za Kitambulisho kilichopotea kwa raia wa Tanzania Kuna hatua mbalimbali zinazotakiwa kufuatwa na mwombaji aliyepoteza Kitambulisho cha Taifa ili kupatiwa kingine na kuna gharama kidogo mwombaji atatakiwa kuchangia:- Mwombaji unatakiwa kuwasilisha fomu ya polisi ya upotevu wa mali/vitu, katika ofisi ya usajili […]

Filed in Makala by on 18/01/2025 0 Comments
FAHAMU Kitambulisho Chako Cha NIDA Kilipo

FAHAMU Kitambulisho Chako Cha NIDA Kilipo

FAHAMU Kitambulisho Chako Cha NIDA Kilipo Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) inapenda kuwafahamisha wananchi kuwa vitambulisho vya Taifa vimechapishwa na kusambazwa maeneo mbalimbali. Kadhalika, orodha ya majina ya watu wote ambao vitambulisho vyao vimechapishwa imewekwa kwenye tovuti ya Mamlaka kupitia kiunganishi https://vitambulisho.nida.go.tz Hivyo, mwananchi ambaye hujachukua kitambulisho chako, unaweza kufahamu kwa kupitia tovuti hii […]

Filed in Makala by on 17/01/2025
MASWALI ya Usaili Ajira za Walimu

MASWALI ya Usaili Ajira za Walimu

MASWALI ya Usaili Ajira za Walimu Maswali ya Usaili Ajira za Ualimu Wakati wa kujiandaa na usaili kwaajili kupata kazi ya kufundisha, watahiniwa wanaweza kutarajia maswali ambayo hutathmini falsafa yao ya ufundishaji, mikakati ya usimamizi wa darasa, na uwezo wa kushirikiana na wanafunzi na wazazi. Hapa chini tumekuandalia maswali ya usaili pamoja na majibu yake. […]

Filed in Makala, Education by on 12/01/2025
JINSI ya Kumkamata Mchepuko wa Mkeo

JINSI ya Kumkamata Mchepuko wa Mkeo

JINSI ya Kumkamata Mchepuko wa Mkeo Baada ya mke wangu kuanza tabia ya kuninyima tendo la ndoa kwa kisingizio kuwa amechoka na shughuli za kila siku, nilianza kupata wasiwasi kuhusu mwenendo wa tabia yake. Nilijaribu kukaa naye chini kumuuliza kuhusu hilo na kuniambia hakuna chochote kilichobadilika kwake bali ni wivu wangu wa kimapenzi ndio unanitesa. […]

Filed in Makala by on 03/01/2025

Habari

MWONGOZO Kwa Wasafiri na.15 wa tarehe 21 January 2025

MWONGOZO Kwa Wasafiri na.15 wa tarehe 21 January 2025

MWONGOZO Kwa Wasafiri na.15 wa tarehe 21 January 2025 MWONGOZO KWA WASAFIRI NA. 15 WA TAREHE 21 JANUARI 2025 KUFUATIA MLIPUKO WA UGONJWA WA MARBURG Mnamo tarehe 20 January, 2025 Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (JMT) ilitangaza mlipuko wa Ugonjwa wa Virusi vya Marburg (MVD) ulioathiri Wilaya ya Biharamulo mkoani Kagera, Kaskazini Magharibi […]

Filed in Habari by on 23/01/2025 0 Comments
NOTI Mpya Kuanza Kutumika tarehe 01 February 2025

NOTI Mpya Kuanza Kutumika tarehe 01 February 2025

NOTI Mpya Kuanza Kutumika tarehe 01 February 2025 Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Emanuel Tutuba amesema noti mpya za Tanzania zenye saini ya Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba na yeye, toleo la mwaka 2010, zitaingia kwenye mzunguko kuanzia February 01, 2025. Tutuba amesema hayo Jumatano, January 22, 2025 jijini Dar es Salaam […]

Filed in Habari by on 23/01/2025 0 Comments
Kauli ya Zitto Kabwe kwa Freeman Mbowe

Kauli ya Zitto Kabwe kwa Freeman Mbowe

Kauli ya Zitto Kabwe kwa Freeman Mbowe Kiongozi Mstaafu wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, amempongeza Freeman Mbowe kwa ushindani ulioutoa katika mchakato wote wa Uchaguzi Mkuu wa CHADEMA na amempongeza zaidi Mbowe yeye binafsi kwa mchango wake mkubwa katika siasa za mageuzi za Tanzania na CHADEMA Zitto Kabwe amesema “Nakukaribisha Mweyekiti Mstaafu Mbowe katika ustaafu […]

Filed in Habari by on 22/01/2025 0 Comments
MATOKEO ya Uchaguzi Mkuu Chadema 2025

MATOKEO ya Uchaguzi Mkuu Chadema 2025

MATOKEO ya Uchaguzi Mkuu Chadema 2025 Breaking: Tundu Lissu ndiye Mwenyekiti mpya Chadema Taifa. Tundu Lissu amechaguliwa kuwa Mwenyekiti mpya wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), akimshinda mtangulizi wake, Freeman Mbowe aliyekuwa anatetea nafasi yake katika uchaguzi wa kihistoria uliofanyika January 21,2025 katika ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam. Katika uchaguzi huo Mbowe […]

Filed in Habari by on 22/01/2025 0 Comments
MMOJA akutwa na Virusi vya Marburg Kagera

MMOJA akutwa na Virusi vya Marburg Kagera

MMOJA akutwa na Virusi vya Marburg Kagera RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema mtu mmoja amekutwa na maambukizi ya virusi vya Marburg (MVD) Wilayani Biharamuro, Mkoani Kagera baada ya taarifa kusambaa mitandaoni kwamba kuna ugonjwa wa virusi vya Marburg Mkoani humo. Dkt. Samia ameyasema hayo leo January 20, […]

Filed in Habari by on 20/01/2025 0 Comments
JINSI ya Kumchukulia Mtu Kitambulisho Cha NIDA

JINSI ya Kumchukulia Mtu Kitambulisho Cha NIDA

JINSI ya Kumchukulia Mtu Kitambulisho Cha NIDA Kufuatia baadhi ya wananchi kutochukua Vitambulisho vyao vilivyokuwa katika ofisi za Kata, Vijiji, Mitaa na Shehia, Vitambulisho hivyo sasa vimekusanywa na kurudishwa katika ofisi za NIDA za Wilaya. Ukipokea Ujumbe Mfupi wa simu (SMS) fika ofisi ya NIDA Wilaya uliko jisajili kuchukua Kitambulisho chako. NIDA imesema kuwa mtu […]

Filed in Habari by on 19/01/2025 0 Comments
HISTORIA ya DK Emmanuel Nchimbi Mgombea Mwenza wa Urais CCM 2025

HISTORIA ya DK Emmanuel Nchimbi Mgombea Mwenza wa Urais CCM 2025

HISTORIA ya DK Emmanuel Nchimbi Mgombea Mwenza wa Urais CCM 2025 Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ambaye leo amepitishwa kuwa Mgombea Urais (CCM) kwenye Uchaguzi wa mwaka huu 2025, amemtangaza Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Emmanuel Nchimbi kuwa Mgombea mwenza wake wa Urais. Akiongea leo January 19,2025 kwenye […]

Filed in Habari by on 19/01/2025 0 Comments
Wasiochukua Vitambulisho Kufungiwa NIDA zao

Wasiochukua Vitambulisho Kufungiwa NIDA zao

Wasiochukua Vitambulisho Kufungiwa NIDA zao Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) imetangaza kusitisha matumizi ya namba za utambulisho kwa wale waliokaidi kuchukua vitambulisho vyao. Tangazo hilo linakuja ikiwa zimesalia siku 15 kufikia ukomo wa agizo la Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa, la kusambaza vitambulisho milioni 1.2 vilivyotengenezwa na mamlaka hiyo, ambapo […]

Filed in Habari by on 17/01/2025 1 Comment
LAINI 12896 Zafungiwa Kwa Utapeli

LAINI 12896 Zafungiwa Kwa Utapeli

LAINI 12896 Zafungiwa Kwa Utapeli Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imetangaza kuzifungia laini za simu 12,896 kutokana na kujihusisha na vitendo vya ulaghai wa mtandaoni kwa kipindi cha miezi mitatu iliyopita. Kwa mujibu wa ripoti ya TCRA ya robo ya pili ya mwaka wa fedha 2024/2025, matukio ya ulaghai kwa njia ya simu yamepungua kwa […]

Filed in Habari by on 17/01/2025 0 Comments
BEI Mpya za Mafuta ya Petroli Tanzania January 2025

BEI Mpya za Mafuta ya Petroli Tanzania January 2025

BEI Mpya za Mafuta ya Petroli Tanzania January 2025 Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) inatangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini zitakazotumika kuanzia Jumatano ya tarehe 01 Januari 2025 saa 6:01 usiku. Kwa mwezi Januari 2025, bei za rejareja na ta jumla katika Mikoa ya Dar […]

Filed in Habari by on 03/01/2025

Mahusiano

Sitarudia tena ukahaba, kilichonipata huko siwezi kusahau!

Sitarudia tena ukahaba, kilichonipata huko siwezi kusahau!

Sitarudia tena ukahaba, kilichonipata huko siwezi kusahau! Kutokana na ugumu wa maisha nilijikuta nimeingia kwenye biashara ya ukahaba bila mimi mwenye kupenda, nilifanya kazi ile kishingo upande, ni vile tu sikuwa na jinsi. Huko nilikumbana na changamoto nyingi, moja wapo ambayo ni kubwa zaidi ni kukamatwa na Polisi na kufikishwa kituoni, kama ukiwa siku hiyo […]

Filed in Mahusiano by on 16/12/2024
Mke wangu kaniambia siri ya Kushangaza Ajabu!

Mke wangu kaniambia siri ya Kushangaza Ajabu!

Mke wangu kaniambia siri ya Kushangaza Ajabu! Jina langu ni Frey, tumeishi na mke wangu Tuma kwa miaka 12 ndani ya ndoa yetu, naweza kusema kati ya Wanaume Duniani ambao wamefaidi matunda ya ndoa mimi ni mmoja wapo. Nasema hivyo kwa sababu tangu nimemuoa huyu mke  wangu sikumbuki kama kuna siku tumewahi kugombana au kununiana […]

Filed in Mahusiano by on 06/12/2024
Mama mwenye nyumba ananitaka kimapenzi, nifanyaje?

Mama mwenye nyumba ananitaka kimapenzi, nifanyaje?

Mama mwenye nyumba ananitaka kimapenzi, nifanyaje? Unajua kuna mambo yanaweza kukutokea hadi wewe mwenyewe ukawa unashangaa maana yake ni ipi hasa, ndicho nilichonikuta mimi pale ambapo mama mwenye nyumba aliponiita nyumbani na kuniambia kuwa ananitaka kimapenzi. Jina langu ni Julio, kijana wa miaka 25 ambaye najishughulisha na Ujasiriamali hapa jijini Dar es Salaam, kutokana na […]

Filed in Mahusiano by on 05/12/2024
Kwanini ni vigumu kwa Wanawake wasomi kupata ndoa?

Kwanini ni vigumu kwa Wanawake wasomi kupata ndoa?

Kwanini ni vigumu kwa Wanawake wasomi kupata ndoa? Kuna mtu mmoja katika mtandao wa Twitter aliuliza kwanini mahusiano au ndoa za watu ambao hawajasoma zinadamu kuliko za wale ambao wana elimu kubwa?. Swali hilo lilikuwa likigusa maisha yangu kutokana nilikuwa mwanamke ambaye kila mara nilijikuta katika mahusiano mapya, suala la elimu yangu lilifanya wanaume kuugopa […]

Filed in Mahusiano by on 04/12/2024
Kanipa adhabu kwa kuniambukiza Kaswende!

Kanipa adhabu kwa kuniambukiza Kaswende!

Kanipa adhabu kwa kuniambukiza Kaswende! Sikuwahi kuwaza kama kuna siku mpenzi wangu ambaye nilimpenda kwa moyo wangu wote anaweza kunifanyia jambo la kuniumiza moyo wangu pamoja na mwili wangu. Jina langu ni Ray, kijana wa miaka 25, nilikuwa katika mahusiano na binti mmoja aitwaye Mum ambaye ana kama miaka 26, katika mapenzi yetu kuna kipindi […]

Filed in Mahusiano by on 26/11/2024 0 Comments
Kwa nilichomfanyia, Mume Wangu hawezi Kunisaliti kamwe!

Kwa nilichomfanyia, Mume Wangu hawezi Kunisaliti kamwe!

Kwa nilichomfanyia, Mume Wangu hawezi Kunisaliti kamwe! Ukweli ni kwamba wanawake wengi wamekuwa wanasalitiwa sana Wanaume zao ndani ya ndoa jambo linaloacha maumivu makali katika nyoyo zao na kubakia na huzuni tu. Mimi sikutaka kitu kama hicho katika maisha yangu kutokana na nami ni mwaminifu, nafahamu hilo toka kwenye uvungu wa nafsi yangu kwamba sina […]

Filed in Mahusiano by on 19/11/2024 0 Comments
Hii hapa dawa ya Mvuto wa Wanawake hadi Wakung’ang’anie

Hii hapa dawa ya Mvuto wa Wanawake hadi Wakung’ang’anie

Hii hapa dawa ya Mvuto wa Wanawake hadi Wakung’ang’anie Jina langu ni Abdul, ni kijana wa miaka 36 kutokea Mathare, nimekuwa nikifanya kazi ya ujenzi maeneo mbalimbali hapa nchini Kenya na kweli nashukuru nimekuwa nikipata fedha nzuri. Kwa sasa naendesha maisha yangu vizuri tu, nimefanikiwa kujenga na kuwekeza mradi mdogo wa kuuza mbao kwaajili ya […]

Filed in Mahusiano by on 07/11/2024 1 Comment
error: Content is protected !!